Pedri Aishukuru Real Madrid kwa Kutomsaini.

Pedri ameishukuru klabu ya Real Madrid kwa kutomsajili, amesema yupo mahali alipokuwa akitaka kuwa katika klabu ya Barcelona.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 17 alijiunga na miamba ya LaLiga Barcelona akitokea klabu ya Las Palmas mwezi Julai na amefanikiwa kufunga mara mbili katika michezo kumi ya Barcelona msimu huu.

Lakini, inaeza kuwa ni tofauti kwa kinda huyo, ambaye alipigwa chini na Real Madrid baada ya kufanya majaribio kwa Los Blanco.

Pedri, ambaye anawakilisha timu ya vijana ya Spain amesema amefurahi baada ya kukataliwa na mahasimu wa Barca.

“Nilikwendakufanya majaribio Real madrid lakini waliniambia sina uwezo wa kucheza katika klabu hiyo,” aliiambia Cadena SER siku ya Jumatatu.

“Namshukuru yule mtu alisema sema sina faida, sasa nipo kwenye timu niliyokuwa nikiipenda siku zote.

Barcelona wamekaa nafasi ya nane katika jedwali la LaLiga alama tisa nyuma ya vinara wa ligi hiyo Real Sociedad, ingawa wemcheza mechi chache kuliko viongozi wa ligi hiyo.

Pedri, ambaye ameanza katika michezo mitatu msimu huu, anafurahia fursa aliyopata ya kucheza na mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or mara sita, Lionel Messi.

“Kweli nilikuwa na ndoto ya kucheza na Lionel messi kama ilivyo kwa watoto wengi,” alisema

Barcelona wanajiandaa kuikabili Atletico Madrid siku ya Jumamosi mchezo wa ligi baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa.


BASHIRI UKIWA MAHALI POPOTE!

Hauhitaji kuwaza linapokuja suala la ubashiri na odds kubwa. Bashiri na Meridianbet ukiwa popote ufurahie ushindi mkubwa katika michezo mbalimbali na hadi milioni 16 kwenye michezo ya kasino.

Meridianbet Beti Popote

INGIA MCHEZONI!

26 Komentara

    Jitahidi utakuwa bora hapo back mana kunawachezaji ambao wako vizuri

    Jibu

    Itabid afanye Kaz tu sio kushukuru kuwa kwenye club kubwa

    Jibu

    barcelona ni sehemu nzuri ingawa uchumi umeyumba kidogo

    Jibu

    Pedri ni mmoja ya vijana wanao chipukiah kwa Kasi kubwa sana

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Vizuri Sana pedri

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Kaza buti kijana

    Jibu

    Vzur sana

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    Kinacho takiwa waongeze juudi hapo alipo so kila kitu kinaenda na wakati wake

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Ni wakati wake wa kuwaonyesha Madrid kiwango chake ili wajutie makosa walioyafanya

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Pedri anaweza kuifikisha mbali barcelona sababu ni clab aliyokuwa na ndoto za kuchezea hapo

    Jibu

    Usikate tamaa pia ongeza jitihada zako

    Jibu

    Kila la kheri

    Jibu

    Madrid wajikaz sana kwa kua wamepwaya sana

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Itabidi afanye kazi sio kushukuru tu kuwa kwenye clabu kubwa

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Pedro anaishi Barcelona kwa malengo

    Jibu

    kaza buti kijana

    Jibu

    KAza buti kjn

    Jibu

Acha ujumbe