Kwenye mchezo wa Malawi dhidi ya Cameroon, Nyota wa klabu ya simba na timu ya taifa ya Malawi Peter Banda aliingia akitokea bench ila aliumia na kutolewa nnje baada ya kupata majeraha katika mchezo wao dhidi ya Cameroon.

Banda akiongea na moja ya waandishi wa habari za michezo wa kituo cha Clouds Media bwana Farhan Jr alisema “alikanyagwa kidogo mguuni na Kocha hakutaka kurisk kuendelea kumwacha uwanjani hivyo alihitaji apewe uangalizi wa Madaktari”

Peter Banda
Peter 

Ripoti ni kuwa hana majeraha makubwa na mpaka juzi saa 8:45 Mchana walikuwa safari kuelekea Benin kupitia Togo, ambapo watacheza mchezo wao dhidi ya Msumbiji

Taharifa za uhakika ni kua Peter Banda yupo fit na anatarajia kucheza mchezo huo, yalikuwa ni majeraha madogo ya kawaida tu

Anatazamwa kama future ya taifa la Malawi “The Flames”


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa