Pirlo: Ronaldo Atafunga Goli 1 au 2 Kila Mechi.

Kocha wa Juventus,Andrea Pirlo amemsifu Christiano Ronaldo kwa kuuanza msimu mpya akiwa kwenye fomu na anatumaini ataendelea na kiwango hicho.

Ronaldo amefunga magoli 3 na kutoa asisti moja katika michezo miwili ya Serie A msimu huu 2020-21 na kuisadia Juventus kukusanya alama 4.

Pirlo: Ronaldo Atafunga Goli 1 au 2 Kila Mechi.
Kocha Andrea Pirlo na Christiano Ronaldo.

Kuelekea mchezo wa siku ya Jumapili dhidi ya Napoli, Kocha mkuu wa Juve Pirlo amemwagia sifa nyota huyo na kusema magoli mengi yanakuja kutoka kwa Ronaldo.

“Ronaldo anajituma sana, anakuwa wa kwanza kufika mazoezini na wa mwisho kurudi nyumbani,’ aliongea na waandishi wa habari.

“Naona ataendelea kufunga goli moja au mawili katika kila mchezo, ni mtu muhimu sana kwetu.

Ronaldo na Juventus wamepangwa watakabilaiana na Barcelona yenye Messi katika Champions League baada ya kupangwa kundi moja, wakati huo huo Dynamo Kiev na Ferencvaros pia wapo katika kundi hilo.

“Tupo kwenye kundi zuri, ni jambo zuri kuwakabili Barcelona kwa sababu inaleta jukumu la umakini kwa wachezaji wetu.” alisema.


Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

35 Komentara

    Gooo Cr7

    Jibu

    Ronaldo anajituma Sana….

    Jibu

    Ronaldo hana mpizani kwenye sekta ya mpira

    Jibu

    sahh

    Jibu

    Ngoj tuone kwn umri wake now kwny soka unanipa mashaka

    Jibu

    Cr7 yupo motoo sana

    Jibu

    Ronaldo yupo vizuri

    Jibu

    Cr7 yupo vizur

    Jibu

    Cr ni kaz ndog sana kwake

    Jibu

    Cr7 tupo vizur

    Jibu

    Hakamatiki Ronaldo.

    Jibu

    Ronaldo mtu makini

    Jibu

    Itafahamika

    Jibu

    👏👏

    Jibu

    CR7 anajituma sana huo ni mgodi unaotembea

    Jibu

    Nakubali CR7 mtu m bad

    Jibu

    Mashabiki tunamkubali sana Ronald

    Jibu

    Cr7 namkubali

    Jibu

    Ni sawa

    Jibu

    Anaweza ronaldo anaweza kufunga bila wasiwasi

    Jibu

    anafunga bila ata wasiwasi

    Jibu

    Ronaldo mtu mbaya akoseagi

    Jibu

    ronaldo yupo vizuri sana awapo uwanjani lakini asipangiwe magoli ya kufunga sababu siku hazifanani

    Jibu

    Safiii sana

    Jibu

    Ronald yuko vizur namkubali sana

    Jibu

    Cr7 jeshii

    Jibu

    Ukiachana na ufungaji wa magoli katika clabu pia kuna hishindani na mpinzani wake messi ukiangalia sasa wachezaji chipukizi wana moto wa hajabu lazima hajitume hipasavyo ili kutunza ufalme wake

    Jibu

    Fundiiii

    Jibu

    Cr7 fundi bhana anajua sana uyu mtu

    Jibu

    Sina shaka na CR7

    Jibu

    Ukiachana na ufungaji wa magoli katika clabu pia kuna hishindani na mpinzani wake messi ukiangalia sasa wachezaji chipukizi wana moto wa hajabu lazima hajitume hipasavyo ili kutunza ufalme wake

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Ronaldo Yuko vizuri

    Jibu

    Kiungo makini

    Jibu

    Habar njema 👍

    Jibu

Acha ujumbe