Pirlo: Ronaldo ni Sawa na Wachezaji Wengine wa Juve.

Kocha mkuu wa timu ya Juventus Andrea Pirlo amesisitiza Christiano Ronaldo hajapata umaalumu wowote katika klabu hiyo ya Serie A.

Ronaldo ameuanza msimu mpya vyema kwa kufanikiwa kufunga magoli nane katika michezo yake sita ya kwanza.

Aliweka kambani goli 2-0 mchezo ulipita siku ya Jumamosi dhidi ya Cagliari na Ronaldo alifikisha goli la 29 katika michezo 59 ya Juventus ndani ya Serie A.

Kuelekea mchezo wa Champions League siku ya Jumanne dhidi ya Ferencvaros, Pirlo alimuongelea Ronaldo na kusema mshindi huyo wa tuzo ya Ballon d’Or mara tano anachukuliwa kama wachezaji wengine.

“Nafanya naye kazi kama wachezaji wengine, mara nyingi napatikana uwanjani na nje ya uwanjani,” aliongea na waandishi.

“Ni rahisi kuwa na uhusiano mzuri na watu poa, nipo kama hivyo.

“nafanya naye kazi kama ninavyofanya na [Gianluca] Frabotta au [Manolo] Portanova ambao ni wachezaji makinda.

“Nafanya kitu hichohicho kama nilivyokuwa nafanya kipindi mimi ni mchezaji.

Magoli yote nane ya Ronaldo katika Serie A amefunga ndani ya box wakati pia ametengeneza nafasi kubwa nyingi.

Kuelekea kuwaongoza Ferencvaros, Juventus wapo nafasi ya pili katika kundi G alama tatu nyuma ya Barcelona.


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

25 Komentara

    Nivyo inavyotakiwa kuwa wote wawe sawa mana ni wachezaji

    Jibu

    kabisa ronaldo ajione yupo sawa na wachezaji wote

    Jibu

    Nikweli Kabisa yupo sahii kwalichokiongea Pirlo

    Jibu

    Pirlo yupo sahihi kabisa

    Jibu

    Inatakiwa wachezaji wote wawe sawa

    Jibu

    Cr 7 ni mtu hatari

    Jibu

    Ni msimamo mzuri

    Jibu

    Yupo sahihi kabbaa

    Jibu

    Safi Sana.nimependa maneno yako

    Jibu

    Wote sawa tu si na yy anakimbiza mpira Kama wenzie

    Jibu

    Ronaldo anaga majivuno

    Jibu

    Ronaldo mtu mbaya

    Jibu

    Namkubali sana

    Jibu

    Cr7 ni kiumbe wa sayari nyngne

    Jibu

    Yuko sahii

    Jibu

    Yuko sahihi kiukweli.

    Jibu

    Yupo sahihiii

    Jibu

    Yuko sawa

    Jibu

    Maneno yake yanaukweli ndani yake!!

    Jibu

    Ronald namuelewa sana

    Jibu

    Pirlo yupo sahihi

    Jibu

    Yuko vizuri ronaldo

    Jibu

    Ronaldo ni mchezaji asiye na majivuno

    Jibu

    Habari poa sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe