Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Romelu Lukaku amekataa offa ya kujiunga na klabu ya Tottenham na kuchagua kurudi Inter Milan kwa mkopo, kulingana na taarifa mpya inayosmbaa kwa sasa.

Romelu Lukaku alisajiriwa na klabu ya Chelsea akitokea klabu ya Inter Milan, ambapo alivunja rekodi ya usajiri wa klabu hiyo, baada ya The Blues kukubali kulipa £97.5million kama ada ya uhamisho wake kwenye dirisha la majira ya kiangazi lililopita.

Romelu Lukaku
Romelu Lukaku

Ijapokuwa Lukaku ameitumikia klabu ya Chelsea kwa msimu mmoja, lakini kunauwezekano mkubwa wa yeye kuondoka kwenye klabu hiyo either kwa mkopo au kuuzwa moja kwa moja, sababu kubwa ni kiwango kibovu alichoonesha msimu huu ulioisha.

Bergomi kupitia, Sport Witness alidai kwamba Lukaku anahitaji kujiunga na Inter Milan tu, kama attaondoka darajani msimu huu na amekataa offa ya kujiunga na kocha wake wa zamani aliyefumndisha akiwa Inter Milana ambaye kwa sasa yuko Tottenham.

Bergomi aliendelea kudai kuwa, japokuwa Lukaku amekuwa na msimu mbaya Stamford Bridge, lakini Chelsea watahitaji kiasi kikubwa cha mkopo kinachofikia €20milion kama ada ya huduma ili kuweza kumruhusu kuondoka majira ya kiangazi


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa