Mkurugenzi mtemdaji wa zamani klabu ya Bayern Munich Karl-Heinz  Rummenigge amejitokeza na kuomba radhi mashabiki wa klabu hiyo kwa kuruhusu mchezaji wa kimataifa wa Austria David Alaba kuondoka Bayern na kujiunga na Real Madrid kwa uhamisho wa bure mwaka jana.

Rummenigge Aomba Radhi kwa Kumuachia Alaba

Kumekuwa na maneno yakuikosoa uongizi wa mabingwa wa Bundesliga kwa kuwaacha wachezaji muhimu wao kuondoka na kujiunga na vilabu vingine ambapo wamekuwa ni msaada kwa vilabu hiyo.

Haina kificho uwepo wa Alaba na Kroos katika klabu ya Real Madrid umesaidia Los Blancos kupata mafanikio ya kushinda LaLiga na Ligi ya Mabingwa msimu huu.

“Naomba msamaha kwa kuondoka kwa Davi Alaba,” Rummenigge aliiambia Bild.

“Nisameheni kwa hilo.

“Alikuwa kiongozi katika safu ya ulinzi na mwaka mzuri akiwa chini ya Hansi Flick ambapo tuliposhinda Ligi ya Mabingwa huko Lisbon.


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa