Sancho Anaweza Kuondoka,Lakini Anafuraha Dortmund.

Jadon Sancho anaweza akaondoka Dortmund kwaajili ya kutafuta changamoto mpya lakini haitakuwa katika dirisha hili la uhamisho, kiongozi Sebastian Kehl arudia tena kusema.

Sancho amekuwa katika uvumi mkubwa wa kujiunga na klabu ya Manchester United, alkini klabu hiyo inayoshiriki Premier League imeshindwa kulipa kiasi cha Euro milioni 120 sawa na (£108m) ili waweze kumnasa mshambuliaji huyo wa Uingereza.

Dortmund wamesisitiza kwa mara nyingine kuwa Sancho haendi popote msimu huu.

“Jadon amefundishwa vizuri na kitalamu,” Kehl aliiambia Ruhr Nachrichten . “Anafuraha kucheza soka.

“Ipo siku anweza kuondoka kwaajili ya changamoto mpya lakini kwa sasa anafurahia kuwa hapa Dortmund na Borussia Dortmund inafuraha kuwa Sancho.

“Yupo hapa na ataendelea kuwa hapa ilikuwa ni taarifa muhimu kutoka katika klabu kwa sababu tunam mabo mengi ya kufanya na bila Sancho timu hii hali itakuwa mbaya.

Sancho Anaweza Kuondoka,Lakini Anafuraha Dortmund.
Jadon Sancho

Sancho alifunga goli 17 na asisti 16 msimu uliyopita akiwa nyuma ya Thomas Muller goli 21, Timo Werner (28) na Robert Lewandowski ambaye alichukua kiatu cha dhahabu.

Dortimund tayari wameanza mbio za kuwa Bundesliga kwa kuicharaza timu ya Borussia Monchengladbach goli 3-0 na katika mchezo huo Sancho alitoa asisti katika dakika 78 ya mchezo siku ya Jumapili.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

35 Komentara

    Sancho usiondoke jamani sasa ukiondoka itakuaje

    Jibu

    maisha popote

    Jibu

    Waamue moja km wanauz au sio wanabana

    Jibu

    Jadon Sancho yupo mahali sahihi hakuna sababu ya kufikiria kuondoka#meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Abaki tu

    Jibu

    Abaki tu

    Jibu

    Abak t

    Jibu

    Sancho aangalie tu masilahi yake

    Jibu

    makal nzr

    Jibu

    Aijakaa poa hii

    Jibu

    Kikubwa maslai

    Jibu

    Ni balaa tu ila akienda man ni saf

    Jibu

    popote kambi

    Jibu

    Dortmund bado wanamuhitaji sana sancho anamchango mkubwa sana kwenye klabu hiyo

    Jibu

    Kikubwa masrai

    Jibu

    Abadilishe upepo

    Jibu

    Best move kwake itakuwa ni kubaki Dortmund tu

    Jibu

    Asante kwa taarifa.

    Jibu

    Maamuzi yake binafsi

    Jibu

    Maslai ndio kitu cha msingi

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Sancho ni wa dortmund jmn.usihame

    Jibu

    Kambi popote

    Jibu

    Sacho afate moyo wake

    Jibu

    Fanya maamuzi sahihi!!!

    Jibu

    Popote kambi

    Jibu

    sancho akae tu apo apo anaonekana anapapenda sana ingawa analiliwa sana na united

    Jibu

    Dortmund bado wanamuhitaji sana sancho

    Jibu

    Me naona Sancho hana mpango wa kubaki Dortmund

    Jibu

    Sancho abaki dortmund ni safi sana kwakuwa viungo wanamjulia ndio mana amekua moto

    Jibu

    Kwa kifupi tuu Sancho hawezi kuondoka Dortmund

    Jibu

    Uwamuzi ni wake

    Jibu

    Abaki tu

    Jibu

    sancho akae tu apo apo anaonekana anapapenda sana ingawa analiliwa sana na united

    Jibu

Acha ujumbe