Sevilla Yamsaini Acuna Kutoka Sporting CP.

Klabu ya Sevilla inayoshiriki ligi kuu ya nchini Hispania LaLiga wamemaliza usajili wa beki wa kushoto Marcos Acuna kutoka klabu ya Sporting CP, akiwa kama mbadala wa Sergio Reguilon.

Reguilon aliyekuwa Sevilla kwa mkopo msimu uliyopita na kufanikiwa kutwaa taji la Europa League walikuwa na matumaini ya kumsaini mchezaji huyo kutoka Real Madrid kwa msimu huu 2020-21.

              Uongozi wa Sevilla watangaza Kumkosa Reguilon.

Lakini, kiongozi wa michezo Monchi alisema wiki iliyopita kwamba ni kama watamkosa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 ambaye pia ameripotiwa kuwindwa na klabu ya Manchester United.

Na siku ya Jumatatu klabu hiyo ya LaLiga walithibitisha kutua kwa Acuna mzaliwa wa Argentina kwa dili ya mkataba wa miaka minne huku kitita cha €10m kikiripotiwa kulipwa kama ada ya uhamisho huo.

Sevilla Yamsaini Acuna Kutoka Sporting CP.
Marcos Acuna

Acuna alitumia misimu mitatu na miamba ya ya Ureno, Sporting CP na kucheza mechi 134 katika mshindano yote.

Huu unakuwa ni usajili wa tano wa Sevilla katika dirisha hili la usajili baada ya kumsajili Ivan Rakitic kutoka Barcelona, Oscar Rodriguez, Yassine Bounou na Suso.

Sevilla ilimaliza nafasi ya nne katika LaLiga msimu wa 2019-20 na kufanikiwa kufuzu kucheza Champions League pia walishinda taji la Europa League na wanajiandaa kwaajili ya mchezo wa UEFA Super Cup dhidi ya Bayern Munich Septemba 24.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

43 Komentara

    maamuz mazur

    Jibu

    Safi Sana kwa maamuzi waliyo yafanya.

    Jibu

    Sevilla wamepata jembe litawafaa sana msimu huu

    Jibu

    Kijana anafaa sana

    Jibu

    Wamempa mtu makini!!

    Jibu

    Sevilla wanazidi kujenga ukuata dhidi ya wapinzani wao tunasubir kuona mabadiliko makubwa sana msimu ujao

    Jibu

    Kijana yupo vzuri

    Jibu

    Vizuri kijana anajua

    Jibu

    Seville wamepata kitu sahihi acuna anajua mpira

    Jibu

    Acuna ni mchezaji mzuri naamini ataleta mabadiliko

    Jibu

    safi sana sevilla mmepata kiungo mzuri sana na atawaletea mabadiliko

    Jibu

    Kijana yuko vzr sana

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Maamuzi mazuri

    Jibu

    Safiii usajiri mzuri wamefanya

    Jibu

    Saf sana

    Jibu

    Mamuzi mazur

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa Sevilla ,maadui mjipange.

    Jibu

    Namuelewa sana

    Jibu

    Sevilla imeapata beki wa maana sana

    Jibu

    Kijana yupo makini

    Jibu

    Bado Sevilla wana jambo lao tena 2020/2021

    Jibu

    Sevilla wamepata mtu wa kaz sas

    Jibu

    sevilla mmepata kiungo mzuri sana na atawaletea mabadiliko

    Jibu

    Congrat sign news player #Acuna 26🤝🤝🤝🤝

    Jibu

    Maandalizi mazuri pongezi kwao!!!

    Jibu

    Hongera Sana

    Jibu

    Beki kisiki sevilla inatakiwa ijipange ichukue la liga

    Jibu

    Sevilla wameopoa

    Jibu

    Imefany usajir mzur san

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Jamaa fundio

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Hongera yake#meridianbettz

    Jibu

    Safiii

    Jibu

    Kijana anafaa sana

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Hongera zakee

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Asante kwa nakala

    Jibu

    maamuzi mazuri

    Jibu

    sevilla mmepata kiungo mzuri sana na atawaletea mabadiliko

    Jibu

    Nice

    Jibu

Acha ujumbe