Simba 3-1 KMC

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania bara Simba leo wamecheza mechi ya kirafiki kama sehemu ya maandalizi ya LigiΒ  inayotarajia kuanza wiki ijayo.

Simba wameialika klabu ya KMC katika uwanja wao wa mazoezi Mo Simba Arena kama sehemu ya kujiweka sawa kabla ya kurejea kwa Ligi. Kumbuka hapo jana KMC waliifunga Yanga magoli 3-0 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar.

KMC walianza kupata goli la mapema kupitia Charles Ilafanya dk 30 kabla ya nahodha John Bocco kusawazisha dk 34 na kufanya kipindi cha kwanza kumalizika kwa 1-1

Kipindi cha pili mnamo dk 75 John Bocco aliwanyanyua tena mashabiki wa Simba kwa goli la pili kabla ya dk 88 Ajibu kuweka mpira wavuni na kufanya mechi kumalizika kwa 3-1.

48 Komentara

    Simba wamenza kwa kishindo kwenye mechi ya kirafiki

    Jibu

    Ni mwanzo mzr kwa Simba,wajiandae zaidi

    Jibu

    hakuna kama simba kwa hapa TZ simba baba lao

    Jibu

    Mwanzo mzuri kwawana simba

    Jibu

    hawa ndo mabingwa wa tanzania plimia ligi, anayebisha basi aendelee!!!!

    Jibu

    Kwa Simba ndo kawaida Yao hata kwa mechi za kirafiki ushindi lazima.

    Jibu

    tumewalipia kipigo la liga fc

    Jibu

    Simba asilimia nyingi wamekuwa wakifanya wakifanya vizuri Sana hongera kwao na mashabiki pia

    Jibu

    This is simbaaaa

    Jibu

    Hongera simba

    Jibu

    Akuna Kama Simba chama kubwa hilo

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Simba inatisha sana.

    Jibu

    Wajiandae zaidi mechi ndo zinaenda kuanza

    Jibu

    Simba ipo vizur sana

    Jibu

    Simba bhana wapo vizuri sanaa Ila wazidishe juhudi maana Mambo ndio yanaanza Sasa.

    Jibu

    Kwa wale wasio jua Simba Ina kikosi kipana Simba wamecheza mechi mbili kwa siku moja moja wameshinda goli 4_2 na nyingine 3_1 afu uje kuifananisha na young Africa a k a utopolo kwako mwalimu kashasha ila wa utopolo msikete mapovu pambaneni na timu yenu#meridianbettz

    Jibu

    Simba wapo vizuri sana na wachezaji wanajituma sana uwanjani wanaumoja wote ndio mana wanaleta matokeo mazuri

    Jibu

    Simba wameanza kwa kishindo kwenye mechi ya kirafiki

    Jibu

    Simba kishindo kwenye mechi ya kirafiki

    Jibu

    Hizi mechi za kirafiki uwa wachezaji wanacheza kwa kutokaza misuli ila simba inaonekana wapo imara

    Jibu

    Simba juuuu

    Jibu

    Aya bana bahati ilikuwa upande wao

    Jibu

    Mwendo ni ule ule kama tulivyoishia ndio mwendelezo wake huo watoto wa kinondoni wamekutana na wahuni wa kkoo

    Jibu

    Ndani ya mwaka mmoja kama kmc wakajinowa vizuri ninaamini kuwa hakuna timu ya Tanzania itakayo ifunga

    Jibu

    Simba oyeeee!

    Jibu

    Hongera kwao

    Jibu

    Baada ya kusimama kwa mda ila simba wako bomba kabisa. Wameingia uwanjani kwa kasi ya ajabu hongera kwao

    Jibu

    ndo mchezo kuna kushinda na kushinwa poleni wana KMC hongereni SIMBA

    Jibu

    wamebahatisha tu awo Simba hawana lolote

    Jibu

    Simba juuuuu juuuuu tena juuuu zaidi

    Jibu

    Yaani Simba hata kama unanjaa unashiba tu#Meridianbettz

    Jibu

    Hongera kwa Simba ila wasibweteke maana ndo kwanza wameanza.

    Jibu

    Hongereni simba ni mwanzo mzuri#meridianbettj

    Jibu

    Mwanzo mzuri kwa Wana simba

    Jibu

    Safi Sana hii ndo simba bwana wanaonesha ni jinsi gan walikua wanajituma kufanya maziez ata kama michezo ilizuiliwa kwa muda apana chezea simba πŸ’ͺ

    Jibu

    Ni friend match tu hiyo tusubiri ligi ianze

    Jibu

    Simba kama simba

    Jibu

    Hongera zenu simba

    Jibu

    Simba Mnyamaaaaa

    Jibu

    Simba hawana mpnzan Tanzania

    Jibu

    Wamebahatishaaa

    Jibu

    Kwa matoke haya yanatia moyo

    Jibu

    Piga kelele kwa Simba akeeee
    Weweeeeeeee

    Jibu

    Simba wako vizur walijipanga sana

    Jibu

    Duuh Simba baba Lao

    Jibu

    Simba wamekutana na vibonde

    Jibu

    Simba kama simba

    Jibu

Acha ujumbe