Simba Waendeleza Ubabe Ligi ya Mabingwa Afrika

Wachezaji wawili wa kikosi cha Simba majina yao yameorodheshwa kwenye kikosi bora cha wiki kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi baada ya mechi nne kuchezwa.

Simba ikiwa kundi A inaongoza kundi hilo na ipo na pointi 10 haijaokota bao kwenye hatua ya makundi jambo ambalo ni rekodi kwa msimu huu wa 2020/21.

Wachezaji hao wawili ni kiungo Luis Miquissone pamoja beki mzawa Mohamed Hussein, ‘Zimbwe Jr’ ambaye ana bao moja pia kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika huku Luis akiwa ametupia mabao mawili.

Kikosi Bora cha Wiki Caf

Wengine ni Denis Onyango, Mosa Lebusa na Lebohang Maboe hawa ni kutoka Klabu ya Mamelod Sundowns ambayo imetoa wachezaji watatu.

Denis Onyango

Mouad Haddad, Diogenis Joao, Mehd Benaldida, Yasser Ibrahim,Mohamed Magoyafsha na Hamdou Elhouni.


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

CHEZA HAPA

8 Komentara

    Simba wako vizuri kwa sasa ila wasijisahau huu ni mpira lolote linaweza tokea

    Jibu

    Wametishaa

    Jibu

    Simba wapo vizuri

    Jibu

    Hongera simba

    Jibu

    Simba wako vizuri

    Jibu

    Simba endelee hivyo hivyo mtafika mbali zaidi

    Jibu

    Pongezi kwao simba

    Jibu

    Simba Juuuu juuu sana

    Jibu

Acha ujumbe