Klabu ya Tottenham Hotspurs, imekamilisha uwasijili wa golikipa, Β Pierluigi Gollini akitokea Atalanta. Spurs kumenoga!
Gollini anajiunga na Tottenham kwa mkataba wa mkopo wa msimu mmoja -2021/22 huku kukiwa na kipengele kinachoiruhusu timu hiyo kumsajili Gollini kwa mkataba wa moja kwa moja kwa dau la euro milioni 15.
Usajili wa moja kwa moja, utafanyika endapo golikipa huyo ataitumikia Tottenham kwa michezo 20 wakati huu akiwa kwenye klabu hiyo kwa mkopo.
Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!
Sania+mapua
Gollini atawafaa hao Spurs