Tanzania Kuingiza Timu 4 Mashindano ya CAF.


Tanzania inatarajiwa kuingiza timu nne katika mashindano ya CAF msimu ujao baada ya timu ya Simba SC kufanikiwa kutinga katika hatua ya robo fainali ya ligi ya mabingwa barani afrika.

Al Ahly Benghazi ameshindwa kufuzu hatua ya robo fainali. Hii ina maana baada ya mashindano kumalizika na alama kuhesabiwa basi msimu ujao Tanzania itapeleka timu 4 kwenye mashindano ya Afrika.

Timu mbili za Tanzania (Nafasi ya Kwanza na Pili) zitacheza katika ligi ya mabingwa barani africa wakati (Nafasi ya Tatu na Nne) zitacheza katika kombe la shirikisho huku ikitegemea mshindi wa kombe la Azam Federation Cup FA.

Wakati huo pia CAF imetangaza Vilabu 30 bora kwenye bara la Afrika (viwango vilivyotolewa April 29) kabla ya droo ya robo fainali ya CAF Champions league na CAF Confederation Cup.

Huku klabu ya Simba SC amepanda kutoka nafasi ya 28, mpaka nafasi ya 13 Msimu huu na kuwa klabu pekee katika listi hiyo kwa timu za Tanzania.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

10 Komentara

    Jambo jema Sana kwa watanzania

    Jibu

    Tanzania tupo juu

    Jibu

    Inapendeza sana

    Jibu

    Bila Simba Tanzania isinge julikana

    Jibu

    Big up kwa Tanzania

    Jibu

    Inapendeza kwa nchi yetu TZN

    Jibu

    Jambo zur

    Jibu

    Safiii sana

    Jibu

    Jambo zurii

    Jibu

    Imekaa poa sana

    Jibu

Acha ujumbe