Ten Hag Afikia Rekodi ya Cruyff Katika Eredivisie.

Erik ten Hag ameungana na Johan Cruyff katika rekodi ya ligi ya Eredivisie baada ya Ajax kupata ushindi wa 5-2 dhidi ya Fortuna Sittard.

Ajax wameongeza idadi ya magoli na kufikia 250 katika michezo 82 wakiwa chini ya kocha mkuu Ten Hag baada ya kuifunga timu ambayo ipo chini katika jedwali la ligi hiyo jijini Amsterdam.

Ten Hag Afikia Rekodi ya Cruyff Katika Eredivisie.
Wachezaji wa timu ya Ajax

Ni mara ya pili katika ligi ya Eredivisie timu kufunga magoli 250 ndani ya michezo 82 mara ya kwanza Cruyff aliyekuwa kocha wa Ajax aliweza kufikia idadi hiyo ya magoli mwaka 1987.

Ten Hag alichukua mikoba ya kuinoa 2017 na kocha huyo mwenye umri wa miaka 50 ameiongoza miamba ya Uholanzi kushinda, KNVB Cup na Johan Cruyff Shield wakati pia aliweza kuifikisha timu ya Ajax hatua ya nusu fainali ya Champions League msimu 2018-2019.

Kiungo wa Ajax Davy Klaassen alifunga goli dakika 32 ya mchezo na kuisawazishia Ajax baada ya George Cox kufunga goli la kuongoza dakika ya 7 siku ya Jumamosi.

Brian Brobbey, Dusan Tadic na Quincy Promes wote waliweka kambani kwa timu ya Ajax ambao walikuwa dimba la nyumbani pia wamekaa juu katika msimamo wa Eredivisie kwa tofauti ya magoli baada ya michezi saba.

Brobbey mwenye umri wa miaka 18 na siku 173 amekuwa ni mchezaji mdogo zaidi kufunga katika ligi ya Eredivisie kwa mchezo wake wa kwanza katika timu ya Ajax tangu Jairo Riedewald (miaka 17 na siku 104) mwezi Disemba 2013.


TSH.160,000,000 KUSHINDANIWA!

Tunazungumzia mkwanja wa Tshs.160,000,000! Kupitia Kasino ya Mtandaonii ya Meridianbet unaweza kuwa milionea wakati wowote.

Kamata Mkwanja wako HAPA

25 Komentara

    Uholanzi imetoa wanasoka mahiri duniani

    Jibu

    Pongezi kwake natuman Ten Hag Kama ataendeleah kuwep Ajax havunja rekodi za magwij wote waliopita ndani na hata nje ya Ajax na soka la uholanzi kwa ujumla

    Jibu

    Pongez kwake

    Jibu

    Inapendeza sana

    Jibu

    Pongezi zao

    Jibu

    ajax bado wapo kwnye ubora wa ali ya juu

    Jibu

    Good

    Jibu

    Hongera kwa kufikia rekodi hiyo

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Good

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Kadri siku zinavyozidi kwenda Ajax inaonekana ni timu tishio sana kwenye ulimwengu wa soka

    Jibu

    Its so good

    Jibu

    nice

    Jibu

    Hiki ndio chuo cha mpira

    Jibu

    Pongezi kwake ten hag

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Big up kwake

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Ajax wako poa sana

    Jibu

    Pongezi kwao

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

Acha ujumbe