Tuchel Amwagia Sifa Fowadi Kean.

Thomas Tuchel amemsifu Moise Kean baada ya fowadi huyo kufunga goli lake la kwanza akiwa Paris Saint-Germain katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Dijon.

Kean, ambaye alijiunga na PSG kwa mkopo akitokea klabu ya Premier League Everton mapema mwezi huu, ametia baraka kwa kufunga siku ya Jumamosi kabla Kylian Mbappe aliyetokea benchi kuweka mbili kambani.

Kean aliyesajiliwa na Everton akitokea Juventus kwa dau la €27.5m mwaka 2019, alicheza kwa kuanza michezo sita pekee ya Premier League msimu uliyopita.

Baada ya PSG kujongea juu katika jedwali la Ligue 1, Tuchel amefurahia kiwango cha Kean ambaye amecheza mchezo wake wa tatu kwa PSG.

“Ameleta ukali kwenye mechi yetu, ni uimara wake ndiyo umeleta hamasa. Ni mchezaji mwenye ushindani,” kocha wa PSG aliongea na waandishi.

“Nafuraha aliweza kuonesha hilo hata kwenye mchezo dhidi ya Nimes na Dijon, ilikuwa ngumu sana kufanya hivyo dhidi ya Manchester United.

Kean alitoka kipindi cha pili na nafasi yake ilichukuliwa na Kylian Mbappe ambaye alifunga mara mbili katika mchezo huo.

Neymar ametoa asisti mbili na amehusika katika magoli nane dhidi ya Dijon kwenye Ligue 1 (amefunga goli 4 na asisti 4) ndiyo wapinzani wake pendwa kabisa katika ligi hiyo.


Ondoka na Mkwanja Kwenye Tsh. 160,000,000

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu.

Soma Zaidi

24 Komentara

    Asante kwa taarifa meridianbet

    Jibu

    Safi sana kean mwanzo mpya

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Imekaa powa sana

    Jibu

    Kean yuko vizuri

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Congrats KEAN magoli🀝🀝🀝🀝

    Jibu

    Safii sana

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Kean alinifurahisha sana

    Jibu

    Iko poa sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Asante kwa taarifa nzuri.

    Jibu

    Goodupdate

    Jibu

    Tuchel anatakiwa kumtuza Hugo mchezaji na kumthami ameona kiwango cha juu

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Yuko vzur sanaa

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Dogo anajua sanaaa

    Jibu

    Kean anajitahidi sana

    Jibu

    mwanzo mzuri kwa kean

    Jibu

    Vizuri Sana kean

    Jibu

Acha ujumbe