Thomas Tuchel amepata maswali juu ya hatima ya timu ya Paris Saint Germain baada ya kupokea vichapo viwili mfululizo kutoka kwa Lens na Marseille tangu waanze mbio za kutetea ubingwa wa Ligue 1.
Metz watakutana na mabingwa hao siku ya Jumatano baada ya kupoteza kwa 1-0 dhidi ya Marseille siku ya Jumapili.
Baada ya mapumziko ya muda usiyopungua miezi mitatu kutokana na janga la Corona PSG walirudi kucheza na kufanikiwa kushinda mataji mawili kabla ya kufanikiwa kufika fainali ya Champions League na kufungwa na timu ya Bayern Munich ambao ndiyo mabingwa Champions League 2019-20.
Paris Saint-Germain washindwa kuanza vizuri msimu mpya wa Ligue 1.
Paris Saint-Germain wameshindwa kuanza vyema msimu baada ya kufungwa na Lens katika mchezo wa kwanza baada ya kuwakosa nyota wao saba walikuwa karantini kwaajili ya kuepuka maambukizi ya COVID-19 na kufungwa tena 1-0 dhidi ya Marseille katika dimba la Le Classique.
Neymar,Levyvin Kurzawa na Leandro Paredes walitolewa nje kwa kadi nyekundu na wataukosa mchezo dhidi ya Metz PSG watakapo kuwa ugenini.
Tuchel ameshinda kombe la Ligue 1 katika misimu miwili na kuifikisha PSG fainali ya mashindano ya Ulaya msimu uliyopita.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.
Khadija
Hii corona ni hatari tuombe tu mungu atusaidie lihishe hili janga#meridiabettz
Theckla
Thomas lazima kichwa kiwake moto
Povel
Naona Kama msimu wa utawala wa psg ufaransa kama utaanza kuanguk msimu huuu mpya timu zimejipanga kwl ila ngoj tuone mpka mwixho wa msimu
Revina
Huu ugonjwa kiukweli wa Corona umerudisha nyuma sana mambo mengi katika sekita ya Michezo ,tuendelee kumwomba mungu atafungua baraka na kuupoteza ugonjwa huu
Elika
Corona iishe tuu jamani
Mwajumah
Hii corona ni hatari jamn tumuombe mungu iishe tu#Meridianbettz
Dorophina
Corona imeharibu radha yote ya mpira jaman
Sauda
Corona hatari sana
Zeiyana
PSG wana alingumu sana kwa sasa sijui hatima yao itakuaje
Shani
Asikate tamaa njia mbadala muhimu!!
Adelta
Coronavirus sio poa inabidi kujikiga kwa kumaanisha#meridianbettz
Mwanahamisi
Colona ni noma
Fatina mfigi
Mmmh corona majnga kweli!!
Caroline
Wangeomba mechi isogezwe ili wenzao watoke karantini.waungane nao.sema ndo basi tena
magdalena
PSG wana wakati wa kutosha juu ya kujipanga tena vizuri wanaweza wakaanza vibaya na mwisho wa siku wakamaliza vizuri
Nasra
Hii corona hatari tu
aisha
Duuh majanga kwa thomas
Tumaini kasalile
Asante kwa makala
Shafii
Tuchel cha msingi aangalie wapi anakosea afanye marekebisho mambo yatakua poa tu kwani bado mapema.
Salma ngende
Corona imezingua sana
Sabrina
Asikate tamaa mwanzo mgumu aongeze ufundi ili wasiendelee kufanya vibaya
Rama
Mwanzo tu psg ishaanza vibaya msimu
Samira
Aongezee juhudi hatakiwi kukata tamaa mapema hivi ndio kwanza msimu unaanza
Janeflora malisa
Bidii muhim
Samiah
Bidii inahitajika
Saupha mohamed
Apambane tuu
Gabriel
msimu wa utawala wa psg ufaransa kama utaanza kuanguk msimu huuu mpya timu zimejipanga kwl ila ngoj tuone mpka mwixho wa msimu
Hopemwaikuka
,😋😋
Amiri Kayera
Psg Kwa sasa ipo vibay na matokeo mabov
Theonestina
Corona Sio poa kabisa
Genia Sikaluzwe
Corona siyo poa
Ester jackson
Tuchel cha msingi aangalie wapi anakosea afanye marekebisho mambo yatakua poa tu kwani bado mapema unaweza
Ernest
Soka limekuwa na changamoto sana, Uongozi wa PSG wanatakiwa kumpa muda Tuchel
felister
mwanzo mbaya kwa psg
Lydia Emmanuel Magoti
Lazima kichwa kiume PSG msimu huu kwann wameanza vibaya Tuchel lazima achekeche kichwa
Tatu
Tuchel aache mapepe mwazo mgumu uwenda huko mbele maajabu yanaweza kutoka timu ikafanya vizuri
David Pere
Naona Kama msimu wa utawala wa psg ufaransa kama utaanza kuanguk msimu huuu mpya timu zimejipanga kwl ila ngoj tuone mpka mwixho wa msimu