Tupo Bize na Fainali Sio Usajili Wa Sane - Bayern Munich.

Hansi Flick na Manuel Neuer wanayo furaha kumkaribisha Leroy Sane katika klabu ya Bayern Munich siku ya IjumaaΒ  lakini haraka sana wakabadilisha tahadhari yao na kugeukia fainali za DFB-Pokal.

Leroy Sane

Bayern wamethibitisha kuwa na kandarasi ya muda mrefu na Leroy Sane itakayo dumu kwa kipindi cha miaka mitano.

Lakini wababe hao wa Bundesliga hawakuwa na muda mrefu kulizungumzia swala hilo bali waliongelea maandalizi yao kwenye fainali itakayo wakuitanisha na Bayer Leverkusen siku ya Jumamosi jijini Berlin.

Flick alisema kuhusu usajili huo mpya:”Tumeufurahia lakini hatuna muda wa kuongelea kwa sasa kuhusu hili.”

Nahodha wa Bayern Neuer alipoulizwa kuhusu mchezaji mwenzake Sane lakini alisema kwa sasa yeye anaangalia zaidi katika kubeba taji lingine kwa msimu huu.

“Nina tumaini [Sane] anaweza kushinda Pokal akiwa na Bayern siku zijazo,” alisema ‘Sisi ni wachezaji wa Bayern tunafuraha kwamba atakuwa nasi msimu ujao.”

Flick anatumai kuwa na Niklas Sule kuhusuika na mchezo huo akishiriki vyema katika safu ya ulinzi pia alimzungumiza Kai Harvetz mchezaji wa Bayer Leverkuzen mchezaji mwingine wa Ujerumani kuhushwa na kutua Bayern.

Β  Kai Harvetz

Kocha wa Leverkusen Peter Bosz amesema kwa upande wake hawezi kumuuza Harvetz mwenye umri wa miaka 21.

“Anaumuhimu sana lakini hawezi kushinda mchezo akiwa peke yake,” Bosz alisema ‘Sidhani kama mechi hii inaweza kuwa na Malengo yake ya baadaye.

Bayern tayari wameshinda taji la Bundesliga kwa msimu wa 2019-2020 na wanatarajiaΒ  kucheza fainali kwenye kombe la DFB Pokal dhidi ya Leverkusen Wikendi hii.

43 Komentara

    Gud newz

    Jibu

    Safi sana#Meridianbettz

    Jibu

    mmmh asante kwa taarifa

    Jibu

    Ameongea kweli uwezi shika mambo mawili kwa wakati mmoja

    Jibu

    Nice update πŸ‘

    Jibu

    Habari nzuri.

    Jibu

    Kweli umuhimu ni kudili na fainali kuliko kuwaza usajili kipindi hiki

    Jibu

    Good πŸ‘

    Jibu

    Nice n upeo wa kufikilia kitu cha mbele hiki tayar kimekamilika sane ndan ya uzi wa Munich mabingwa wa bundasliga

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Asante kwa habari

    Jibu

    Kuwaza final ni Jambo muhimu Sana kuliko kuwaza swala la usajili , sababu wakishachukua kombe watakuwa na pesa nyingi za kununua wachezaji wengi wazuri

    Jibu

    Ahsanteni meridian kwa makala nzur ya michezo

    Jibu

    Habari nzuriπŸ‘

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Asante kwa habari

    Jibu

    Kweli alikisema ukipata makombe mengi ata wachezaji ukiwataka upati shida Sana #meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa update za michezo#meridianbettz

    Jibu

    Hapo nimemkubali sana ni fainali kwanza ili wakipata pesa wanafanya wanachokitaka

    Jibu

    Sawa

    Jibu

    Hizo ni habari nzuri

    Jibu

    Kweli kabisa unatakiwa uangalie mbele sio kuangalia sasa big up nahoza

    Jibu

    Kweli kabic ni muhimu kuangalia fainal na sio usajiri tena ukiangalia na hali iliyokuwepo tumetoka kwenye majanga ya korona uchumi lazima uyumbe virabu vingi vimetikisika

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Habari njema hiyo

    Jibu

    Tumewasoma

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Tumeelewa ahsante kwa taarifa

    Jibu

    Tunawashukuru sana kwa kutupa taarifa#meridianbett

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    ukiangalia na hali iliyokuwepo tumetoka kwenye majanga ya korona uchumi lazima uyumbe virabu vingi vimetikisika

    Jibu

    Natamani kuona Sane akiendeleza kufanya makubwa kama alivyokuwa Mancity

    Jibu

    😁😁 mambo hayo

    Jibu

    Safi habari nzuri

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Kocha anaonyesh jinsi wana focus na mechi muhim

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Maoni:Hii ni habari njema

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Yuko sahihi

    Jibu

    Habari njema kwetu

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

Acha ujumbe