Uchambuzi Mechi Kati ya Iceland vs England.

Uingereza itajaribu kuyafukuza mapepo ya usiku wa Euro mwaka 2016 wakati walipokutana na Iceland kwa mchezo wa kwanza tangu miezi 10 ipite.

Timu ya Gareth Southgate Three Lions itasafiri mpaka Reykjavik kwaajili ya mchezo wa ufunguzi katika michuano ya ligi ya Mataifa Ulaya mwaka huu huku ikiwa na kumbukumbu ya kufungwa na Iceland 2-1 kwenye mashindano ya Euro miaka 4 iliyopita.

Hiyo ilikuwa ni aibu kubwa sana kwa timu ya Uingereza lakini mpaka sasa imepiga hatua kubwa katika ubora tangu iwe chini ya Mwalimu Southgate.

Uingereza ilifanikiwa kufika hatua ya nusu fainali katika kinyang’anyiro cha kombe la Dunia mwaka 2018 na kumaliza nafasi ya tatu kwenye mcihuano ya kwanza ya Nations League ikiwa imesheheni wachezaji vijana na wenye msisimko mwaka uliyofuatia.

Kikosi cha sasa cha England kina wachezaji kama Klyle Walker, Eric Dier, Harry Kane na Raheem Sterling watakao husika pia katika usiku wa mtanange huo kusini mwa Ufaransa.

Ni kama Phil Foden na Mason Greenwood wanaweza kuanza wakati Kalvin Phllips wa Leeds atakuwa mchezaji wa kwanza kucheza mchezo wa kwanza akiwa na timu ya taifa kabla hajacheza mchezo wowote wa Premier League, aliyewahi kufanya hivi alikuwa ni Wilfried Zaha mwaka 2012.

England ilifunga jumla ya magoli 38 mwaka 2019, idadi sawa na wakati walipofanikiwa kutwaa kombe la Dunia mwaka 1966.

Skipper Kane mwenye umri wa miaka 27 pia alifunga jumla ya mbao 10 katika mechi sita na timu ya taifa.

Lakini Iceland wanaendelea kupambana na hawajakata tamaa kwaajili ya mchezo huo, hata kama mashindano hayo ya Nations League siyo malengo yao makubwa.

Wana mchezo wa mtoano hatua ya nusu fainali mwezi ujao dhidi ya Romania katika michuano ya Euro 2020 kwa hiyo macho yao wameelekeza zaidi katika kufuzu kwa mara ya tatu katika mashindano makubwa.

Je wajua?
Iceland walipoteza michezo yao yote minne, kwenye mashindano ya Nations League mwaka 2018, na kufunga mara moja na kuruhusu magoli 13.

           Bashiri mechi hii hapa Meridianbet kwa kufuata link Gusa Hapa


SHINDA NA HI LO

Sasa hii ni rahisi zaidi kupata USHINDI! Unatabiri karata ipi ipo chini au juu, kisha unakusanya mkwanja wako.

Cheza sasa

43 Komentara

    Uchambuzi mzuri sana mm jamvi langu natumain England watapata matokeo kwny mchezo wa leo

    Jibu

    Iceland bado hawajakata Tamaa kwa sababu Wana malengo makubwa yakufanya@meridianbettz

    Jibu

    uingereza wakiitumia vizuri nafasi na kujipanga ipasavyo inaweza kuibuka na ushindi mzito sana

    Jibu

    Ukiangalia England wana kikosi kizuri..!tumesikia maajabu yaka kene ni mchezaji hanayejutuma sana akiwa uwanjani

    Jibu

    England wapo vizuri kikosi chake kiliwahi kuchukua ubingwa mwaka 1966 na kufunga magoli zaidi ya 38

    Jibu

    kikosi cha England kina wachezaji wazuri mpk sasa wanapigana ili timu ibaki kwenye ubora

    Jibu

    England Kikosi mahiri!

    Jibu

    Ngoja niandae jamvi langu

    Jibu

    Uingereza ilipotoka na ilipo Sasa ..imepiga hatua kubwa

    Jibu

    Mambo mazur ngoj nitengeneze jmvi

    Jibu

    Uchambuzi mzuri sana England wana kikosi kizuri sana#Meridianbettz

    Jibu

    Kikosi cha uingereza kipo vizuri

    Jibu

    England kikosi chao kipo bomba !!

    Jibu

    Hii mechi inamagoli mengi sana vipindi vyote viwili

    Jibu

    England Ni timu nzuri wakijipanga vizuri lazima watashinda kwa kishindo

    Jibu

    England imejitosheleza

    Jibu

    Duuh hapa kazi ipo maana huu mtanange siwakitoto acha nimpe england lakini ninahofu asije akanichania

    Jibu

    England iko vizuri sana

    Jibu

    saf

    Jibu

    England leo anatikisa nyavu

    Jibu

    England wako vizuri sana nawaaminia sana

    Jibu

    England Leo anauwa mtu

    Jibu

    Karata yangu naitupa kwa england.

    Jibu

    Safi

    Jibu

    England mabingwa

    Jibu

    Asante kwa uchambuzi

    Jibu

    Itakua tafu game

    Jibu

    Mwaka 2016 Iceland ilianza kuvuna matunda ya kuandaa na kukuza vijana kwenye mchezo wa Soka na inaendelea na program hiyo ambayo imeifanya timu ya kuogopewa kiasi barani Ulaya#meridianbettz

    Jibu

    England ni kamili kukiwasha

    Jibu

    Iceland bado hawajakata Tamaa kwa sababu Wana malengo makubwa yakufanya@meridianbettz

    Jibu

    England sina wasiwasi nao

    Jibu

    England kama nawaelewa hv

    Jibu

    England Ni timu nzuri wakijipanga vizuri lazima watashinda kwa kishindo

    Jibu

    Uchambuzi mzuri sana mm jamvi langu natumain England watapata matokeo kwny mchezo wa leo

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Uchambuzi umekaa vizuri

    Jibu

    Mambo ya soka hayo

    Jibu

    Habari njema kwa mashabiki wa mpira#meridianbettz

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Ni uchambuzi mzuri tu

    Jibu

    Mechi ilikuwa bomba sana

    Jibu

    Mko Na habari nzuri sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

Acha ujumbe