UEFA Super Cup Kushuhudiwa na Mashabiki Budapest.

Mashabiki wa Sevilla na Bayern Munich wataruhusiwa kuhudhuria mechi ya UEFA Super Cup mwezi Septemba 24 katika dimba la Puskas Arena.

UEFA imethibitisha mashabiki wataruhusiwa kuwepo uwanjani, Budapest kwa mchezo utakao wakutanisha Mshindi wa Champions League na mshindi wa Europa League lakini kutakuwa hakuna zaidi asilimia 30 ya siti zitakazo ongezwa.

Maamuzi tayari yamefanywa kwa hiyo baraza linaloongoza limeangalia kama kutakuwa na athari kwa mashabiki pindi mchezo huo utakapo chezwa hali ya kuwa bado kuna janga la virusi vya Corona.

     Puskas Arena

Rais wa UEFA aleksander Ceferin amesema: “Wakati kumekuwa na umuhimu kuonesha kwamba mpira wa miguu unaweza kendelea hata kwenye nyakati ngumu, kucheza bila mashabiki, mchezo umepoteza ladha yake.

“Tunafanya kazi kwa ukaribu na chama cha mpira cha Hungari na Serikali yake katika kuhakikisha usalama wa kiafya kwa watu wote watakao hudhuria katika mchezo huo.

“Hatuto hatarisha usalama wa watu .”

Bayern wamefuzu kuwania kombe hilo baada ya kuibuka mabingwa wapya wa Champions League kwa kuwafunga PSG 1-0, wakati Sevilla walifanikiwa kufika hatua hiyo kwa kuwafunga Inter Milan 3-2 katika fainali ya Europa League.

Tovuti ya UEFA imetaja uwanja wenye uwezo wa kubeba watu 68,000 utaruhusiwa kubeba watu 20,000 katika mchezo huo wa UEFA Super Cup.


Beti Mbio za Mbwa Mubashara

Hii ni rahisi zaidi! Hapa USHINDI unaupata kwa kuchagua mbwa anayeshinda mbio na machaguo mengine yenye odds tamu.

Cheza Hapa

15 Komentara

    Hyo ni habar njema sana

    Jibu

    Habari njema hii dhaa shangwe zinaanza kurejea budapest

    Jibu

    Hii itakuwa powa sana kwa mashabiki

    Jibu

    habari njema sana kwa mashabiki wa mpira

    Jibu

    Habari nzuri kwa mashabiki wa kandanda

    Jibu

    habari njema kwa mashabiki wa mpira wa miguu

    Jibu

    Habari njema hii

    Jibu

    Habari nzuri Sana

    Jibu

    Wakati kumekuwa na umuhimu kuonesha kwamba mpira wa miguu unaweza kendelea hata kwenye nyakati ngumu, kucheza bila mashabiki, mchezo umepoteza ladha yake lakini kwa taarifa ya leo tumefurahishwa mashabiki nasi tukiwa uwanjani kushuhudia.

    Jibu

    Imekaa poa sana 👍

    Jibu

    Inapendeza

    Jibu

    Safii imependeza sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    mambo mazuri tuliokuwa tunayasubiri yaja

    Jibu

    Afadhali bwana

    Jibu

Acha ujumbe