Ukatili wa Mjerumani Timo Werner.

Timo Werner ni mshambuliaji wa hadhi ya juu, magoli ya kikatili sana kwenye mazingira katili sana lakini alifanya kitu.

tulizoea kumuona Didier Drogba Yves Tebily akifanya vile, anatembea na mpira unasimama, anagusa ya kwanza, anatazama wavu anatikisa.

Timo kwenye bao la kwanza niliamini angepigia kushoto, kwenye sanaa ya ufungaji angeukataa msitu na kwenda na nyika, ila ikawa tofauti aliwafata na kwenda nao kisha bila tamaa akazikata kamba.

Ukatili wa Mjerumani Timo Werner.
Straika, Timo Werner Akifunga goli lake la kwanza dhidi ya Southampton.

Bao la pili ni bora tena, mpira ukiwa katika move, pasi iliyo mwagwa na Jorginho ana uchop anakutana nao tena mbele anamalizia kwa kichwa,huwezi kumlaumu beki wala kipa, alitulia sana kama maji kwenye mtungi, katili sana huyu.

Ukatili wa Mjerumani Timo Werner.
Timo Werner Akifunga kwa Kichwa goli la pili dhidi ya Southampton

Kuna Kontena zima na Antonio Martial kwenye Timo mmoja, kuna fuso zima la Nketiah kwenye Timo mmoja.

Kuhusu matokeo nadhani hiyo kesi Lampard ajue namna ya kuwashawishi mashabiki na uongozi wa klabu ya Chelsea.


Unapenda kuwa shujaa?

Naam, hapa ni mahali pako! Kuwa shujaa kwenye sloti hii ya Samurai Ken ujishindie mkwanja na kujipa burudani murua. 

Cheza sasa 

Samurai Ken Online Casino

23 Komentara

    timo werner siku zote ni mtuwa maajabu akiwa uwanjani

    Jibu

    Kijana Yuko vizuri

    Jibu

    Timo werner kweli mkatili

    Jibu

    Kijana amekuja kivingine anaitendea soka kihipasavyo

    Jibu

    Safii kijan

    Jibu

    Kijana yupo fit.

    Jibu

    werner akishikaga mpira haangaliagii pembeni kabisa yeye anajua kupeleka tu na kufikia lengo

    Jibu

    Timo Werner hana huruma anapokuwa uwanjani

    Jibu

    Timo werner yupo vizuri

    Jibu

    Hana huruma hata kidogo Timo

    Jibu

    Yupo good

    Jibu

    Hapa Chelsea imelamba dume

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    saf

    Jibu

    Namkubali sana

    Jibu

    Timo werner goal GETa lakin ujio wake Epl naona anachanga moto katika ufungaj ndani ya EPl msimu huuu

    Jibu

    Werner anlijua goli

    Jibu

    Mtu mbad

    Jibu

    Timo Werner yuko vzur

    Jibu

    Safiii

    Jibu

    Timo werner anajua yuko vizur

    Jibu

    Werner fundi

    Jibu

    Werner bado hajakaa vizuri ndani ya EPL watu wanatarajia makubwa kutoka kwake

    Jibu

Acha ujumbe