Fali Ramadani wakala wa beki wa Napoli Kalidou Koulibally hajafanya mazungumzo na klabu yoyote hali ya kuwa kuna tetesi kwamba yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Barcelona.

Rais wa Napoli Aurelio De Laurentiis alisema mapema mwezi huu kwamba hawawezi kumlazimisha beki huyo wa kimataifa wa Senegal kusalia klabuni hapo baada ya Koulibally kudai kwamba wataangalia nini watafanya mwisho wa msimu.

Napoli wanania ya kumbakiza baada ya timu hniyo kuwa na msimu mzuri kwa kuruhusu mabao machache na kuwa na clean shit nyingi (16) nyuma ya Milan (18) msimu huu.

Fali Ramadani alisema: “Kuna uvumi mwingi, na ninataka kufafanua kwamba hatuko kwenye mazungumzo na klabu yoyote kwa ajili ya Koulibaly,” Ramadani aliambia gazeti la Italia Corriere dello Sport.

“Tunasubiri kukutana na Napoli ili kuamua suluhu bora kwa pande zote mbili.”


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa