Borussia Dortmund Wako Tayari Kupunguza Bei ya Sancho

Borussia Dortmund wanaripotiwa kuwa wapo tayari kumuuza Jadon Sancho kwa pauni milioni 88 wakati wa dirisha la usajili la majira ya kiangazi.

Mchezaji huyo wa miaka 20 alihusishwa sana na kuhamia Manchester United mwaka jana, lakini BVB walidaiwa hawakuwa tayari kushuka bei ya pauni milioni 108 kumuuza mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza.

Sancho amepata changamoto katika kuonesha ubora wake katiika kiwango ambacho alitarajiwa kwa Dortmund kipindi hiki lakini bado ameweza kuchangia mabao nane na kutoa asisti 13 katika mechi 25 kwenye mashindano yote.

Jadon Sancho

Ripoti ya hivi karibuni ilidai kwamba kuwasili kwa Amad Diallo huko Old Trafford kunaweza kuwafanya Mashetani Wekundu kusitisha harakati zao za kumnasa Sancho, ambaye bado ana mkataba hadi 2023.

Hata hivyo, kwa mujibu wa chapisho la Bild, Dortmund wana nia ya kujaribu kuwashawishi United msimu huu wa joto kwa kupunguza bei yao hadi £ 88m, ambayo inadhaniwa ni punguzo la £ 20m kwa hesabu yao ya awali..

Sancho, ambaye pia alikuwa akihusishwa na Chelsea na Liverpool, amefunga mabao 42 na kutoa asisti 56 katika mechi 124 za BVB tangu alipowasili kutoka Manchester City mwaka 2017.


TUNGENEZA FAIDA KUPITIA KASINO YA MERIDIANBET

Neptune’s Richies ni mchezo Unaokupa pesa chap chap huku ukiwa unaburudika kupitia Kasino ya Mtandaoni ndani ya Meridianbet.

Neptune's-Riches_Casino-Post_30-January

Cheza hapa

 

 

 

16 Komentara

    Duuh

    Jibu

    Hiyo hatari

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Ata wakipunguza hakuna anae muhitaji kwa sasa

    Jibu

    Noma sana

    Jibu

    Kwani imekuwaje tena

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Haya sasa dau hilo hapo mezani kazi kwao

    Jibu

    Mmmh

    Jibu

    Hatari

    Jibu

    Sancho kwasasa atauzwa kwa bei ya kawaida sana walishindwa kuchangamkia fursa wakati anawika

    Jibu

    Sancho, ambaye pia alikuwa akihusishwa na Chelsea na Liverpool, amefunga mabao 42 na kutoa asisti 56 katika mechi 124 za BVB tangu alipowasili kutoka Manchester City mwaka 2017.

    Jibu

    United hawana shida nae

    Jibu

    Sio mbaya

    Jibu

    Duuh

    Jibu

    Itakuwa poa sana aende Man U

    Jibu

Acha ujumbe