Kwa mujibu wa taarifa ya MARCA, Barcelona ingemuongezea mkataba Dani Alves kwa mwaka mmoja zaidi, Xavi Hernandez aliulizwa kuhusu mustakabali wake katika mkutano na waandishi wa habari Jumamosi kabla ya mechi.

Inasemekana, Xavi na timu ya ufundi wamefurahishwa na uchezaji wa Alves uwanjani lakini pia mchango wake kikosini hapo. Maadili na mtazamo wake umekuwa muhimu kubadilisha utamaduni wa kikosi cha vijana huko Barcelona.

Wasiwasi wa Alves Kusaini Mkataba Mpya Barca
Alves mwenyewe alikuwa ametania kupitia Twitter kwamba ikiwa MARCA walikuwa wakiripoti kuwa atasaini mkataba mopya, basi hilo lingetokea.

“Kile Alves anatupa ni cha kushangaza. Yeye ni mfano, kwa taaluma yake, kwa kuwa na mtazamo chanya. Natumaini atadumisha uchezaji wake kuanzia hapa hadi mwisho wa msimu.” – Xavi

“Ningependa abaki. Lakini itategemea klabu, na uchezaji, lakini angetupa mchango mkubwa mwaka ujao pia.” – Xavi


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa