Willian na Pedro Kumaliza Msimu Wakiwa Chelsea.

Willian na Pedro wameongeza mikataba ya muda mfupi wakiwa Chelsea mpaka mwisho wa msimu 2019-2020.

Winga hao kutoka klabu ya Chelsea wote wameongeza mikataba yao ambayo ilitakiwa kumalizika Juni 30,kutokana na kusimama kwa ligi na michezo mingine kufuatia kutokea kwa virusi vya Korona wamekubali kuendelea kutoa huduma klabuni hapo mpaka mwisho wa ligi tofauti na tarehe iliyopo kwenye kandarasi.

Chelsea wapo katika nafasi ya kwenye msimamo wa ligi ya EPL,pia wamefika robo fainali ya kombe la FA, ingawa kwenye ligi ya Mabigwa Ulaya wanaweza kuishia nafasi ya 16 bora baada ya kufungwa 3-0 na Bayern Munich.

Willian amekuwa katika kiwango kizuri chini ya kocha Lampard, amefunga goli tano katika Premier League kwenye michezo 29.Amekuwa akihusishwa na kutimkia Arsenal na Tottenham.

Pedro amecheza michezo tisa pekee kwenye EPL msimu lakini ataendelea kusalia darajani mpaka hatima yake ya kwenda kunako klabu ya As Roma ikiripotiwa tena.

Nyota hao wote walibakiza siku 7 kumaliza mikataba yao ya sasa klabuni Chelsea lakini Chelsea imelazimika kuwapatia mikataba ya muda mfupi kutokana na janga la Korona kufanya ratiba ya kalenda ya soka kuvurugika hivyo kufanya michezo ya msimu huu kusogezwa mbele mpaka kufikia kipindi ambacho kalenda ya soka ilikuwa inapinduka.

Chelsea watawakaribisha Manchester City darajani siku ya Alhamisi kwa mchezo wa Ligi ya EPL na nyota hao watakuwepo lilosini siku hiyo.

47 Komentara

    Pedro Bora aendelee kubaki apo Chelsea ili aendelee kuipansisha viwango

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Asante kwa taarifa na meridianbet

    Jibu

    safi kama wamekubali kumaliza msimu wakiwa chelsea

    Jibu

    Safi sana#meridianbettz

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Sio mbaya hata kwa mda ligi itakapo isha maamuzi wanayo wao wap wanataka kwenda

    Jibu

    Safi San kafanya vizuri

    Jibu

    Asante Pedro na Willian kwa huduma nzuri#meridianbettz

    Jibu

    Sio mbaya acha wazidi kuongeza kipato#Meridianbettz

    Jibu

    Waendelee kubakia hapo hapo

    Jibu

    Bola wabaki tu wamalizie ligi tu so Chelsea wamakua wanafanya vizuri toka warudi kwenye mapunziko ya korona

    Jibu

    Habari nzuri kwa mashabiki wao

    Jibu

    Asante Pedro na Willian kwa huduma nzuri pia kwa juhudi zenu#meridianbettz

    Jibu

    Waendelee kukaa hapohapo

    Jibu

    Ni maamuzi mazuri sanaa maana ukiangalia na umri wao umeenda sanaa

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    Iyo ni nzur kwa Chelsea

    Jibu

    Bado ni wachezaji muhimu pale Chelsea
    Wamestahili kubaki#meridianbettz

    Jibu

    N habar njema sana kwa viungo hivyo kupata muafaka wa kuendelea kusalia club ya Chelsea Pedro na William hiko n kitu chema sana maana hadi sasa Chelsea inakamatia nafas ya nne EPL huku nafas ya kwanza ikishikiriwa na Liverpool ,ya pili man City na yatatu licester cty hivyo wapo nafasi nzur hivyo kwa wakongwe hao wanaweza kumalizia msimu wao wa mkataba na muda mfupi kufanya vzur zaid
    Hv nice update 👍
    # meridianbet Tanzania

    Jibu

    Safii sana kuendelea kumaliza msimu huu katika timu ya Chelsea ni habari zuri sana kwa sisi mashabiki zinatusisimua kiukweli mana wataendelea kuipambania Chelsea katika mda huu na ikiwezekana wabaki tu katika timu yao mana bado tunawahitaji

    Jibu

    Wamefanya vizuri sana

    Jibu

    Ni safi kwa kuwa itawasaidia sana chelsea sababu hao ni wachezaji muhimu sana hasa kipindi hiki wakiwania nafasi za top 4

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Ni Jambo zuri wataendelea kutanua kikosi Cha Chelsea na kuwasaidia kumaliza msimu wakiwa kwenye nafasi nzuri pale darajani

    Jibu

    Ni nzuri sana kwao kwa sababu bado wako fiti.

    Jibu

    Uamuz mzur sana

    Jibu

    Wachezaji mahiri sana..pongezi kwao..

    Jibu

    Ni jambo zur kuongeza mkataba n kwa sabab ya kuisaidia Chelsea kujikita top four

    Jibu

    Willian na Pedro ni wachezaji wazuri sana tena wamekuwa msaada ndani ya Chelsea kwa muda mrefu

    Jibu

    Maoni:Safi sana kwa kumalizia msimu chelsea

    Jibu

    Saf San tunawategemea

    Jibu

    Bora aendelee kubaki hapo#meridianbett

    Jibu

    Habari njema kwa wapenzi wa Chelsea

    Jibu

    Nzur

    Jibu

    Safi kwa kumalizia msimu Chelsea

    Jibu

    wamefanya jambo zuri sana na lakuwapa heshima kubwa pale darajani

    Jibu

    Wamefanya jambo la heshima sana kwa timu yao ya Chelsea

    Jibu

    Safi Sana inapendeza

    Jibu

    Imependeza hiyo

    Jibu

    ils hao sio wa kuwaacha kabisa, mi naona pedro na willian wana mchango mkubwa pale chelsea

    Jibu

    Safii Sana uwamuzi waho nimzuri wanderehe kubaki hapo hapo itakuwa vizuri sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Uwamuzi wao mzuri hivyo waendelee kubaki hapo hapo

    Jibu

    Hii iko poa.

    Jibu

    Vizur Sana

    Jibu

    Ni vizuri

    Jibu

Acha ujumbe