Kocha mkuu wa Barcelona Xavi Hernandez amefananisha aina ya uchezaji wa kinda wa The Blaugrana Pedri na mkongwe wa Barca Andreas Iniesta kufuatia kiwango alichoonesha kwenye ushindi wa 4-0 wa Barcelona dhidi ya Athletic Bilbao siku ya Jumapili.

Xavi Amfananisha Pedri na Iniesta

Kila aliyemtazama Pedri alifurahia kiwango chake bora katika safu ya kiungo na hata kocha  wake Xavi alimpa sifa kubwa baada ya mchezo kumalizika.

Xavi alisema: “Jinsi Pedri anaelewa mchezo, inavutia kumtazama akicheza. Ananikumbusha mengi kuhusu Andres Iniesta, sijaona vipaji vingi kama hivyo.

Xavi tayari alikuwa tayari amemwagia kiungo huyo sifa tele, lakini Jumapili alikwenda mbali zaidi na kuthubutu kulinganisha na mmoja wa wachezaji bora kabisa wa Barcelona na Uhispania.

“Yeye ndiye bora zaidi ulimwenguni katika nafasi yake,” kocha huyo alikuwa amesema hapo awali. “Hakuna mtu mwingine kama yeye.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa