Kiungo mpya wa klabu ya Tottenham Hotspur Yves Bissouma ameweka wazi kuwa haikuwa ngumu kwake kuwakubalia kwa sababu alitaka kutimizi ndoto yake ya kucheze kwenye michuano ya klabu bingwa barani Ulaya.

Yves Bissouma amekamilisha usajiri wake kwenda Tottenham Hotspur akitokea klabu ya  Brighton jioni ya leo, na kwenye mahojiano yake na kituo cha klabu hiyo alisema kuwa anashukuru kusajiriwa na klabu kubwa kufuatia maisha magumu aliyokulia na anafurahia kwenda kutimiza ndoto yake ya kucheza Champions League.

Yves Bissouma, Yves Bissouma Nilikuwa na Ndoto ya Kucheza Champions League, Meridianbet

“Kuwa mchezaji wakulipwa kwenye klabu ya Spurs, klabu kubwa inanipa nguvu unajua hilo?

“Baba na mama yangu wako hapa na wamenisadia pia. Wamenisaidia sana, ilikuwa ngumu sana sababu Africa hatuna nafasi kama hapa. Mfano, nilipokuwa mdogo baba na mama yangu walifanya kazi kutusaidia lakini kama ukitaka kcheza mpira, hawana pesa za kukunulia mpira au viatu. Tulikuwa tunacheza peku.

“Lakini nilifurahia kipindi kile, kwa sababu nilikuwa mtoto na marafiki zangu, kwaiyo ilikuwa ni sehemu ya maisha na nina furaha kwa kumbukumbu hizi, mpaka sasa nipo hivi.

“Kuwepo kwenye jiji la London kwenye klabu ya Spurs, kusikiliza nyimbo ya  Champions League, imagine! ni hisia kali napata, namshukuru mungu.

“Ndoto yangu ni kucheza Champions League. nilipokuwa mdogo nakumbuka milikuwa naangalia michuano ya ulaya kila siku. siamini kama makwenda kucheza michuano ya ulaya na Spurs.” Alisema Yves Bissouma


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa