Zidane Asherehekea Ushindi wa 100 na Madrid.

Zinedine Zidane amepata ushindi wa mia moja katika LaLiga akiwa kama kocha mkuu wa Madrid siku ya Jumamosi.

Zidane alifikisha ushindi wa mia Madrid ilipo shinda 3-2 dhidi ya watu kumi wa Real Betis.

Mfaransa huyo, alisherehekea ubingwa wa pili wa LaLiga akiwa kama kocha mkuu wa Real Madrid msimu uliyopita,alifanikiwa kufikia idadi hiyo ya kushinda katika michezo 147 ya LaLiga.

Zidane amekuwa kocha wa pili kufikia idadi hiyo ya kushinda katikaa historia ya Madrid, nyuma ya Miguel Munoz(257).

Ikiwa ni mara ya pili kuinoa Real Madrid, Zidane – ambaye ushindi wake wa kwanza wa taji la LaLiga alipata mwaka 2016, ameona timu yake ikipata jumla ya magoli 342 na kufungwa magoli 142 pekee.

Zidane Asherehekea Ushindi wa 100 na Madrid.
Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane.

Madrid wamepata ushindi wao wa kwanza tangu pazia la LaLiga 2020-21 lifunguliwe, baada ya kulazimishwa sare ya kutofungana na Real Sociedad wiki iliyopita.

Baada ya Federico Valverde kufunga goli dakika ya 14, Betis walisawazisha na kupata goli la kuongoza ndani ya dakika tatu magoli yaliyofungwa na Aissa Mandi na William Carvalho kabla ya kipindi cha kwanza kumalizika.

Mchezaji aliyekuwa akimilkiwa na Barcelona Emerson alijifunga baada ya dakika tatu ya kipindi cha pili kabla ya kutolewa dakika 23 kabla ya kipyenga cha mwisho hakija pulizwa na Madrid walipata goli la tatu na la ushindi kupitia kwa Naodha wao Sergio Ramos dakika ya 82 ya mchezo na kumfanya Zidane afikishe idadi ya ushindi wa 100 (karne) akiwa na Madrid.


FURAHIA KASINO YA MTANDAONI

Tembelea ardhi ya maajabu ushangazwe na mengi ikiwa ni pamoja na urahisi wa kujipatia utajiri kupitia Kasino ya Meridianbet.

Cheza Sasa

41 Komentara

    Pongezi nyingi sana kwako zidane kwani wewe ni kocha uneyesitahili kuigwa kwa kazi yako

    Jibu

    Zidane ni kocha mwenye uwezo mkubwa na huwelewa wake akiwa kwenye himaya yake kwa kazi aliyo hifanya pale Real Madrid hanastaili pongezi

    Jibu

    Hii no ndio Madrid haikuach salama

    Jibu

    Madrid msimu huu wapo vizuri sana japo walianza ligi kwa Suluhu

    Jibu

    Nivizuri Sana Zidane nikocha anaejua Nini anafanya kwenye kazi yake

    Jibu

    Zidane unastahili tunzo kwa kazi uliyofanya👏👏👏

    Jibu

    Goodnews

    Jibu

    Madrid wapo vizuri

    Jibu

    Pongezi kwa zidane

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Hongera zidane

    Jibu

    Gud Zidane

    Jibu

    Pongezi kwako mkongwe kwenye game

    Jibu

    Madrid hii ndio tunaoitaka

    Jibu

    Pongezi kwao madrid

    Jibu

    Pongezi kwa zidane

    Jibu

    Pongez kwao

    Jibu

    Hongera Sana Zidane

    Jibu

    Gud job zidane

    Jibu

    Hongera sana zidane huyu ni gwiji

    Jibu

    Good news 👍

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Good record Kwa zizoo

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Hongera zake.

    Jibu

    Hongera

    Jibu

    Safi sana Zidane

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Hongera Sana zenadine

    Jibu

    pongezi kwa zidane kwa kisherekea ushind wako

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    Hongera zidane

    Jibu

    Zidane Yuko vizuri sanaaaaaaa

    Jibu

    Congrat Zizzou🤝🤝🤝

    Jibu

    zidane anajituma sana na yupo makini sana na kikosi chake ataki kabisa kishuke viwango kimpira

    Jibu

    Congratulation zidane

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Hongera zidane

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    hongera zidane

    Jibu

    zidane anajituma sana na yupo makini sana na kikosi chake ataki kabisa kishuke viwango kimpira

    Jibu

Acha ujumbe