Afrika Kusini Yapata Pigo, Mokoena Kuwakosa Korea Kusini

Timu ya taifa ya Afrika Kusini imepata pigo kuelekea mchezo wake wa mwisho wa hatua ya makundi ya mashindano Dunia 2026 dhidi ya Korea Kusini baada ya kiungo wake muhimu, Teboho Mokoena, kufungiwa kutokana na kukusanya kadi mbili za njano katika michezo miwili tofauti.

Afrika Kusini Yapata Pigo, Mokoena Kuwakosa Korea Kusini  Mokoena alipata kadi yake ya kwanza ya njano katika mchezo wa ufunguzi dhidi ya Mexico, ambapo Afrika Kusini ilianza kampeni yake ya michuano ya Dunia kwa ushindani mkubwa dhidi ya wapinzani hao wa Kundi A.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Kiungo huyo ameonyeshwa tena kadi ya njano katika mchezo unaoendelea dhidi ya Czechia, jambo ambalo limemfikisha kikomo cha kadi mbili zinazosababisha mchezaji kukosa mchezo unaofuata kwa mujibu wa kanuni za mashindano.

Afrika Kusini Yapata Pigo, Mokoena Kuwakosa Korea Kusini  Kutokuwepo kwa Mokoena kutakuwa changamoto kwa kocha wa Afrika Kusini kutokana na mchango wake mkubwa katika eneo la kiungo, akiwa mmoja wa wachezaji wanaosimamia kasi ya mchezo na kusaidia timu katika majukumu ya ulinzi na ushambuliaji.

Afrika Kusini Yapata Pigo, Mokoena Kuwakosa Korea Kusini  Sasa Afrika Kusini italazimika kutafuta mbadala wake kuelekea pambano muhimu dhidi ya Korea Kusini, mechi ambayo inaweza kuwa na mchango mkubwa katika kuamua hatma ya timu hiyo kwenye mbio za kufuzu hatua ya mtoano ya mashindano Dunia 2026.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.