Aliyejifunga Yanga vs Ruvu Shooting Afunguka Sababu

Mchezaji wa Ruvu Shooting aliyewazawadia Yanga SC goli la kujifungwa Mpoki Mwakinyuke ametoa ufafanuzi juu ya tukio hilo ambalo liliwaacha midomo wazi mashabiki na wapenzi wa soka. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

yanga

Mchezo huo uliopigwa Jumatatu Januari 23 ulimalizika kwa Yanga kupata bao 1-0, huku vinara hao wa ligi kuu ya NBC Tanzania bara wakifanya mashambulizi kwa kasi kubwa.

Na sasa hatimaye mchezaji huyo ametoa ufafanuzi kwenye tukio hilo huku akisema kuwa alimuogopa mshambuliaji mpya wa Yanga Kennedy Musonda. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

“Kuna mambo mawili yaliyosababisha (kujifunga), lengo nilikuwa nataka kuupiga mpira nje. Jambo la pili Musonda alikuwa anakuja na alikuwa karibu kabisa na mpira na ningechelewa kidogo angefunga, hivyo nilitaka nipige nje, basi kwa bahati mbaya nikajifunga.”-Mpoki Mwakinyuke

Yanga kwa sasa wanaongoza wanaongoza Ligi kwa alama 56 na michezo 21, huku wanaowafuatia ni wapinzania wao Simba wakiwa na alama 50 na michezo 50 na jumla ya michezo 20, kila timu imebakiza michezo 9 ya kupambania ushindi wa Ligi kwa msimu huu 2022/23. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

Acha ujumbe