Ancelotti Aanza Kujenga Brazil Mpya Bila Neymar, Casemiro na Danilo

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Brazil, Carlo Ancelotti, amesema wachezaji nyota Neymar, Casemiro na Danilo hawatakuwa sehemu ya mipango ya timu hiyo katika ujenzi wa kizazi kipya kuelekea michuano ya Copa America mwaka 2028.

Ancelotti Aanza Kujenga Brazil Mpya Bila Neymar, Casemiro na DaniloAncelotti amesema michuano ya Dunia lililopita limeashiria mwisho wa kizazi cha wachezaji muhimu waliobeba matumaini ya Brazil kwa muda mrefu, huku Neymar mwenye umri wa miaka 34 tayari akitangaza kustaafu soka la kimataifa baada ya Brazil kuondolewa na Norway katika hatua ya 16 bora.

mpira wa miguu, kubeti mpira wa miguu, bashiri soka, soka, beti kwenye soka, odds za soka, bashiri mpira wa miguu, beti za soka, beti mechi za soka, odds za kubeti mpira wa miguu

Akizungumza na kituo cha GE cha Brazil, Ancelotti alisema: Nadhani Kombe la Dunia hili limekuwa mwisho wa kizazi cha wachezaji muhimu sana. Kuanzia Neymar, kupitia Danilo, Casemiro na wachezaji wengine wote waliokuwa na umri zaidi ya miaka 30 katika michuano ya Dunia.”

Ancelotti Aanza Kujenga Brazil Mpya Bila Neymar, Casemiro na DaniloKocha huyo raia wa Italia amesema sasa analenga kuwatafuta wachezaji wapya watakaoweza kuipa Brazil ushindani mkubwa, hasa katika Copa America 2028, kabla ya kuangalia maandalizi ya michuano ya Dunia la mwaka 2030. “Tutaanza kutafuta wachezaji wapya wanaoweza kuingia kwenye kikosi. Sisemi kwa ajili ya michuano ya Dunia la 2030 pekee, lakini ambao wanaweza kuwa na ushindani kwenye lengo letu la kwanza ambalo ni Copa America 2028,” alisema Ancelotti.

Ancelotti Aanza Kujenga Brazil Mpya Bila Neymar, Casemiro na DaniloHata hivyo, Ancelotti amesisitiza kuwa hatabadilisha kikosi chote kwa mara moja, kwani baadhi ya wachezaji wenye uzoefu wataendelea kubaki ili kusaidia mchakato huo. “Sitasema kwamba nitabadilisha wachezaji wote 26. Tutabaki na baadhi ya wachezaji muhimu wanaoweza kuendeleza kazi, kama Marquinhos kwa mfano. Ni muhimu kuwa na wachezaji wanaotoa ishara ya mwendelezo, lakini wazo kubwa ni kubadilisha na kuleta kizazi kipya,” aliongeza.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.