Arsenal Ugenini VS Aston Villa

Ligi kuu ya Uingereza kuendelea hii leo kwa michezo mingi kabisa ambapo mchezo wa mapema kabisa ni huu wa Aston Villa vs Arsenal huku tofauti yapointi kati yao hadi sasa ikiwa ni 6 pekee.

Arsenal Ugenini VS Aston Villa

Vijana wa Mikel Arteta leo hii wanahitaji ushindi huu kwa hali na mali wazidi kuendelea kukaa kileleni kwenye msimamo wa ligi, huku kwa upande wa Villa nao ushindi huu ni muhimu ili wazidi kupambania nafasi 4 za juu kwenye ligi kuu ya Uingereza kwani mpaka sasa hazijatofautiana pointi nyingi.

Aston Villa chini ya kocha mkuu Unai kwenye mechi 14 ambazo wamecheza hadi sasa wameshinda mechi 8, sare 3 na kupoteza mechi 3 hadi sasa huku wakikusanya pointi zao 27. Arsenal wao wameshinda 10, wakitoa sare mechi 3 na kupoteza mechi 1 wakiwa na pointi 33 hadi sasa kwenye ligi.

Leo hii unaweza kutusua mkwanja mrefu endapo utacheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile Aviator, Poker, Roullette, Keno, Super Heli na mingine kibao. Ingia Meridianbet sasa na ucheze hapa.

Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana hawa wawili, walitoa sare huku msimu uliopita The Gunners wakiondoka na pointi 4. Je leo hii mwenyeji atafanya nini akiwa nyumbani?. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri na Meridianbet mechi zote hapa.

Arsenal Ugenini VS Aston Villa

Arteta na Arsenal yake msimu huu wanataka taji la EPL kwa namna yoyote hivyo kila mechi kwao ni kama fainali na pointi 3 ni muhimu sana kwao maana ni muda mrefu sana tangu walichukue kombe hilo toka 2003.

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.