Arsenal Yamnyemelea Nico Williams kwenye Usajili wa Msimu Huu

Winga wa Athletic Bilbao, Nico Williams, ameendelea kuwa miongoni mwa wachezaji wanaovutia vilabu vikubwa barani Ulaya, huku safari yake ya kimataifa ikiendelea akiwa sehemu ya kikosi cha Hispania kinachojiandaa kwa michuano mikubwa 2026.

Arsenal Yamnyemelea Nico Williams kwenye Usajili wa Msimu HuuArsenal ya jijini London inatajwa kuwa mstari wa mbele katika kumsaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23, ambaye kwa muda mrefu amekuwa kwenye rada za klabu hiyo tangu msimu wa joto wa 2024, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kuimarisha safu yao ya ushambuliaji upande wa kushoto.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Licha ya uwezo wake mkubwa na kasi uwanjani, Williams hakuwa na msimu bora sana uliopita, ambapo alihitimisha akiwa na mabao sita na asisti tatu pekee katika La Liga, jambo ambalo limezua mjadala kuhusu kiwango chake cha sasa.

Arsenal Yamnyemelea Nico Williams kwenye Usajili wa Msimu Huu“Arsenal wanaona Nico Williams kama chaguo sahihi kwa kuimarisha upande wa kushoto, ingawa msimu wake uliopita haukuwa wa kiwango cha juu kama ilivyotarajiwa,” lilieleza chanzo cha habari za usajili.

Arsenal Yamnyemelea Nico Williams kwenye Usajili wa Msimu HuuHata hivyo, vilabu vingine vikubwa kama Manchester United na Liverpool pia vinafuatilia kwa karibu maendeleo yake, lakini Arsenal bado inaonekana kuwa na nafasi kubwa zaidi ya kumnasa winga huyo katika dirisha lijalo la usajili.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.