Arsenal Yapiga Hatua Kubwa Kuelekea Ubingwa wa Premier League

Bao pekee lililofungwa na Kai Havertz limeipa ushindi muhimu Arsenal F.C. na kuiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa Premier League msimu wa 2025/2026.

Arsenal Yapiga Hatua Kubwa Kuelekea Ubingwa wa Premier LeagueUshindi huo umeifanya Arsenal kufikisha pointi 82 kileleni mwa msimamo wa ligi, huku ikipewa nafasi kubwa ya kutwaa taji hilo ikiwa imesalia na mchezo mmoja pekee kabla ya msimu kumalizika.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Washika Mitutu hao wa London wanatarajiwa kucheza mchezo wao wa mwisho dhidi ya Crystal Palace F.C. Mei 24, 2026, ambapo ushindi utawafanya wafikishe pointi 85 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote nyingine msimu huu.

Arsenal Yapiga Hatua Kubwa Kuelekea Ubingwa wa Premier LeagueHata hivyo, Arsenal inaweza kutangazwa mabingwa mapema iwapo Manchester City F.C. itashindwa kupata ushindi dhidi ya AFC Bournemouth katika mchezo wao wa leo usiku wa Jumanne Mei 19, 2026.

Arsenal Yapiga Hatua Kubwa Kuelekea Ubingwa wa Premier League“Arsenal wameonyesha uthabiti mkubwa msimu huu na sasa wanahitaji ushindi mmoja pekee kuhakikisha wanatwaa ubingwa wa Premier League,” zimeeleza taarifa za ligi hiyo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.