Aston Villa Yaanza Mazungumzo Kumsajili Alejandro Garnacho Kutoka Chelsea

Aston Villa inaripotiwa kuwa katika mazungumzo ya hatua za mwisho ya kumsajili winga wa Chelsea, Alejandro Garnacho, ikiwa ni sehemu ya mipango ya kuziba pengo litakaloachwa na Morgan Rogers anayetarajiwa kujiunga na Chelsea.

Aston Villa Yaanza Mazungumzo Kumsajili Alejandro Garnacho Kutoka ChelseaChelsea imekamilisha dili la rekodi la pauni milioni 117 la kumsajili Morgan Rogers kutoka Aston Villa, huku tangazo rasmi la uhamisho huo likitarajiwa kutolewa muda wowote. Kufuatia hatua hiyo, Villa imeelekeza nguvu zake kwa Garnacho kama mbadala wa moja kwa moja wa nyota huyo.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Taarifa zinaeleza kuwa Aston Villa imependekeza mpango wa awali wa kumchukua Garnacho kwa mkopo wenye kipengele cha lazima cha kumnunua baadaye, ingawa hadi sasa pande zote mbili bado hazijafikia makubaliano ya mwisho kuhusu uhamisho huo.

Aston Villa Yaanza Mazungumzo Kumsajili Alejandro Garnacho Kutoka Chelsea“Kocha wa Aston Villa, Unai Emery, ni shabiki mkubwa wa Alejandro Garnacho. Aliwahi kujaribu kumsajili wakati akiwa Manchester United, lakini mchezaji huyo aliamua kujiunga na Chelsea. Sasa Emery anaamini anaweza kumshawishi kuhamia Villa Park.”

Aston Villa Yaanza Mazungumzo Kumsajili Alejandro Garnacho Kutoka ChelseaMbali na Aston Villa, klabu ya AS Roma kutoka Italia pia imeonyesha nia ya kumsajili Garnacho. Hata hivyo, viongozi wa Villa wanaamini uwepo wa Unai Emery unaweza kuwa faida kubwa katika mbio za kuipata saini ya winga huyo mwenye umri wa miaka 22.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.