Aubameyang: Nasherekea Kwaajili ya Mtoto Wangu, Unaye Yeyote?

Pierre-Emerick Aubameyang ameapa kuendelea na mtindo wake wa kucheza wakati wa kusherehekea wakati akijibu ukososaji kutoka kwa kiungo wa Real Madrid, Toni Kroos.

Akiongea kwenye podcast yake ya Einfach mal Luppen, ambayo alikuwa akiindesha akiwa na kaka yake Felix, Kroos alikuwa na lengo la kumkosoa mchezaji mwenzake namna wanavyo shangilia baada ya kufunga ni uzamani.

Aubameyang: Nasherekea Kwaajili ya Mtoto Wangu, Unaye Yeyote?
Pierre-Emerick Aubameyang

Alikumbushia usherekeaji wa Aubameyang, ambaye ahapo nyuma alikuwa akivaa barakoa ya Spiderman na Black Panther, alisema baba wa watoto wa tatu: “Nimeona niujinga kama kuna kitu kibaya kimefichwa ndani ya soksi zao.

“Aubameyang mara nyingi amekuwa akisherehekea kwa kuvaa mask, hapo ndipo nilipo ishia, sidhani kama ni mfano mzuri. Ni jambo lisilo na maana yoyote.

Mshambuliaji huyo wa Arsenal hajafurahishwa na alichokisema Kroos’ na yeye binafsi amemjibu mjerumani huyo kwenye mtanfdao wa Twitter.

“Hata hivyo @ToniKroos ana watoto?” alipost. “Kumbuka nimefanya kwaajili ya mtoto wangu wa kiume, nitafanya tena kama hivi mara chache.

“Nakutakia upate watoto siku moja na uwafanye wawe na furaha kama hivi watoto wa shule wanaongea na hawasahau #maskon #staysafe.


UMEJARIBU HII POKER YA VIDEO?

Jaribu sasa hapa Meridianbet. Ukiacha ukweli kuwa itakupa burudani maridadi, bado inakuhakikishia ushindi mkubwa. Kazi kwako kukusanya ushindi!

Meridianbet Casino

INGIA MCHEZONI!

26 Komentara

    Baba mzuri ni yule anayefajya mwanae awe na furaha wakati wowote

    Jibu

    Pongezi kwake yeye ni baba mzuri kwenye familia

    Jibu

    Good

    Jibu

    Pongezi nyingi kwake

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Baba kafanya jambo jema sana

    Jibu

    Ongera san baba

    Jibu

    Tony Kroos hakuwa na sababu ya kutoa maoni kama hayo na sijui kwanini anakereka kiasi hicho. Wachezaji wengi wamekuwa na style tofauti za kufurahia magoli wanayofunga

    Jibu

    Pongezi nyingi kwake

    Jibu

    Pongezi zake Aubameyang ni kichwa chafamily nibaba bora

    Jibu

    Pongezi kwako!!

    Jibu

    Kroos anakosea tu auba amefany kitu for funny na hivyo ni kuingilia maisha ya mtu binafsi

    Jibu

    Habari nzuli

    Jibu

    pongezi nyingi sana kwake

    Jibu

    Gud to hear this

    Jibu

    Siku zote wachezaji hufurahia ushindi hunavyo jisikia wew kwa upande wa Aubamenyang hanafurahi na watoto wake kama moja wapo ya kukumbuku zake hapo baadae

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Kila mchezaj ana namna yake ya ushangiliaji

    Jibu

    Habarii njema

    Jibu

    Kroos auba anafanya vitu kwa mapenz yake na hiko si kitu cha kumhoji

    Jibu

    Aubameyan ni baba bora anaependa Furaha ya moto wake nimeipenda sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Inapendeza sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Kroos hilo ni swala la mtu binafs mwenywe hivyo auba alifanya for funny

    Jibu

    Amemakinika

    Jibu

Acha ujumbe