Barcelona wamesema Jordi Alba alipatwa na jeraha la paja upande wa kulia wakati wa mchezo ulioisha kwa sare ya 1-1 dhidi ya Sevilla ingawa haijawekwa wazi beki huyo atakaa nje kwa muda gani.
Beki huyo anayecheza katika dimba la kushoto,alianza katika michezo yote mitatu waliyocheza wakiwa chini ya mwalimu Koeman, alitolewa dakika ya 75 katika mchezo wa LaLiga katika dimba la Camp Nou siku ya Jumapili.
Baada ya vipimo siku ya Jumatatu, Barca wamethibitisha kuugua kwa Alba, ambaye atakaa nje mpaka pale Barca itakapo toa tamko kuhusu maendeleo yake.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 ataendelea kujiuguza wakati wa mapumziko wa michezo ya kimataifa lakini hajacheza mchezo katika timu ya Spain tangu waliposhinda 2-1 dhidi ya Romania mwezi Septemba mwaka 2019.

“Vipimo vilivyofanyika leo asubuhi vimethibitisha kwamba Jordi Alba anatatizo la misuli katika eneo la paja mguu wa kuume,” Taarifa ya Barcelona ilisomeka hivyo.
“Hatopatikana katika kikosi mpaka tutakapo toa taarifa nyingine tena na hali ya maendeleo ya jeraha la mchezaji ndiyo itatujulisha ni wakati gani atarejea.
Nafasi ya Jordi Alba ilizibwa na mchezaji aliyesajiliwa hivi karibuni Sergino Dest ambaye pia amekuwa ndiyo Mmarekani wa kwanza kucheza mchezo rasmi kwa timu ya Barcelona baada ya kutua akitokea Ajax.
Kinda huyo alisema “Huu ni uwanja wa ndoto zangu, timu kubwa katika bara la Ulaya.”
“Kwa bahati mbaya hakuna mashabiki kutokana na janga Corona, lakini ni mzuri sana.”
Barca atakutana na Getafe kwa mchezo ujao wa LaLiga barca akiwa ugenini, wakifuatiwa na mchezo dhidi ya Ferencvaros katika Champions League hatua ya makundi.
Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!



Janeflora malisa
Dah pole sana
Sadick
Majeruhi yamekuwa yakigharimu timu kwa kiasi kikubwa na pengine ni nafasi ya Dest kuonyesha uwezo wake#meridianbettz
jullie
pole yake
Issa
Mchezaji muhim barca
Amiri Kayera
Washaanz kupat majerah msim bado
Sabrina
Pole sn
aisha
Poleni sana barc
Hopemwaikuka
Ugua pole
Khadija
pole sana
Povel
Get well soon 😭😭😭😭😭
Shani
Pengo kubwa
Saupha mohamed
Pole yake
Amani
Pole kwake
Sauda
Pole sana Alba
David Pere
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 ataendelea kujiuguza wakati wa mapumziko wa michezo ya kimataifa lakini hajacheza mchezo katika timu ya Spain tangu waliposhinda 2-1 dhidi ya Romania mwezi Septemba mwaka 2019.
Dorophina
Get well soon jorde
Lydia Emmanuel Magoti
Duu pole yake
Caroline
Pole yake
Magdalena
Pole sana kwake atakaa Sawa karibuni
Tatu
Pole yao barcelona
Antony Luseno
Too sad hope ata recover soon
Angelina
Bonge la pengo
Elika
Pole sana Barcelona
Zeiyana
Pengo kubwa sana ukiangalia Barcelona wanaali ngumu ya kurudisha kikosi kiwe kwenye ubora
Salma ngende
Pole yake
Neema
Pole yake
Nasra
Pole yake
felister
pole yake
Samiah
Pole yake
Mwajumah
Pole yake
Fatina mfigi
Poleee
latifa juma mohamed
Daah getwell soon jembe japo majeraha yanazid kukuandama.
Rehema
Pole ake
Gabriel
Mchezaji muhim