Bingwa wa mkanda wa Super light Heavyweight Dmitry Bivol analazimika kupigana na Gilberto ” Zurdo” Ramirez ili kutetea taji hilo ilitangazwa na chama cha ndondi (WBA)

WBA imewapo mabondia wote muda wa siku 30 kukubaliana dili hiyo na endapo ikatokea wakashindwa kuhafikiana mpaka tarehe 10 mwezi ujao basi chama hicho itapanga pambano hilo.

Mara ya mwisho Bivol kukUtana jambo kama hili ilikuwa mwaka 2018 dhidi ya Sullivan Barrera na alimchapa Barrera kwa KO katika raundi ya 12.

Ujio wa pambano hilo ni kutimia kwa ndoto ya miaka mingi kwa Ramirez kuchapana na Bivol.

Kamati ya WBA inaagiza kufanyika kwa pambano kati ya Dmitry Bivol bingwa wa WBA Super ligjht Heavyweight dhidi ya mpinzani namba moja kwenye kipengele hicho gILBERTO “Zurdo” Bivol Ramirez

Ingawa Bivol analitizama pambano la marudiano na Canelo ndiyo muhimu zaidi katika kazi yake hiyo ambalo linatarajiwa kufanyika mwakani 2023.


BASHIRI NDONDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa