Joachim Low ataendelea kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ujerumani baada ya kuwa katika sintofahamu kufuatia kufungwa 6-0 na timu ya taifa ya Spain.
Breaking News: Low Kuendelea Kuwa Kocha wa Germany.
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ujerumani,Joachim Low.

Wasiwasi juu kocha huyo ambaye aliwahi kutwaa taji la World Cup uliendelea kuwa mkubwa baada ya kufanya vibaya katika michuano ya Nations League mapema mwezi huu na German Football Association (DFB) imesema kunatakiwa kuwe na ratiba ya kufuatilia hali hiyo.

Siku ya Jumatatu bodi ya uongozi imesisitiza tena kumsapoti kocha huyo mwenye umri wa miaka 60 na kuzima uvumi wowote uliyokuwa unaendelea kuwa umiliki wake wa muda mrefu unaelekea mwisho.

Kipigo cha 6-0 kilikuwa kipigo kikubwa kwa timu ya Ujerumani tangu wapoteze kwa Austria idadi kama hiyo ya magoli mchezo wa kirafiki mwaka 1931, lakini pia golikipa Manuer Neuer ameweka rekodi mpya kwa magolikiapa wa Ujerumani kwa kushinda mechi 96 na kuruhusu magoli sita katika mechi za ushindani kwa mara ya kwanza katika soka lake.

Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp wiki ilyopita aliulizwa kama kuna uwezekano wa kumabadili Low. “Kwa baadaye? labda ,” alijibu. Kwa sasa? Hapana.”


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

Low, Breaking News: Low Kuendelea Kuwa Kocha wa Germany., Meridianbet

INGIA MCHEZONI

14 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa