Fowadi wa Manchester United Edinson Cavani ameshtakiwa kwa utovu wa nidhamu na Chama cha Soka juu ya utumiaji wa neno la ubaguzi katika chapisho la matandao wa kijamii.
Muuruguay huyo mwenye umri wa miaka 33 alituma ujumbe kwenye Instagram mwezi Novemba 29 ambao ulikuwa na neno ‘negrito’.
Alifuta chapisho hilo na akaomba msamaha, lakini Alhamisi FA ilitangaza kuwa ameshtakiwa.
FA ilisema: “Edinson Cavani ameshtakiwa kwa utovu wa nidhamu kwa kukiuka Sheria ya FA E3 kuhusiana na chapisho la mtandao wa kijamii mwezi Novemba 29, 2020.
“Inadaiwa kwamba, kinyume na Kanuni ya FA E3.1, maoni yaliyowekwa kwenye ukurasa wa Instagram wa mchezaji wa Manchester United FC yalikuwa ya matusi au yasiyofaa na au yaliyoumiza mchezo huo.
“Inadaiwa zaidi kuwa maoni hayo ni “Uvunjaji wa kanuni “, ambao hufafanuliwa katika kifungu cha Sheria ya FA E3.2, kwani ni wazi au inamaanisha, kwa ubaguzi wa rangi.
FA ilisema Cavani atakuwa na ahadi Jumatatu, Januari 4 kujibu mashtaka hayo.
BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!
Caroline
Ubaguzi ni mbaya.sana.hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yake
Shakila mrope
Du hatari
Khadija
Duh!!kweli hatari sana
Adelta
Hii hatari sana
lombo
duuh
Farida ahmad
Hatua za kinidhamu lazima zifatwe
Saupha mohamed
Apewe adhabu
Dorophina
Ubaguzi haufai kwa jamii bora sheria imechukua mkondo wake atajifunza
Lydia Emmanuel Magoti
Duu sio poa
David Pere
Ubaguzi haufai kwa jamii bora sheria imechukua mkondo wake atajifunza
felister
duh
Tatu
Hatari sana
Hopemwaikuka
Sheria lazima ziheshimiwe
Sarah
Duu hatari sana
Janeflora malisa
Loooh
warda
KIK zingine bwana
samiah
Duuh