Klabu ya Chelsea wanatarajiwa kukamilisha usajili wa beki wa kati Wesley Fofana kutoka Leicester City kwa dau la Euro 75M pamoja na nyongeza ya hela, klabu inashughulikia suala la kusaini mkataba.

Makubaliano binafsi kati ya Chelsea na Fofana yalikamilika wiki zilizopita baada ya mchezaji kuonesha nia ya kuitaka timu hiyo na hatakuwa ndani ya kikosi cha leo kitakachovaana na The Blues.

 

Chelsea, Chelsea Kumsajili Fofana!, Meridianbet

Maafikiano hayo yalitamatika hapo jana baada ya Leicester kukubali ofa nyingine ya nne ambayo ilitumwa ili kumpata beki huyo wa Kifaransa. Fofana atasaini mkataba mrefu utakaomuweka klabuni hapo hadi June 2028.

Hatua za mwisho zinahitajika ili kufanya usajili huu kuwa rasmi ikiwepo kufanya vipimo vya afya na kujiunga na wenzake kuelekea msimu unaoendelea.


Bahati yako na Lucky Lucky!

Nafasi ya ushindi kwenye kila mzunguko wa mchezo wako pendwa wa Lucky Lucky, fwata bahati yako na uvune mkwanja wako!

Chelsea, Chelsea Kumsajili Fofana!, Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa