Chelsea Yaongeza Ukuta! Lacroix Atua Stamford Bridge Kwa Pauni Milioni 52

Chelsea imekamilisha usajili wa beki wa kati wa Crystal Palace, Maxence Lacroix, kwa ada inayoripotiwa kufikia pauni milioni 52. Nyota huyo wa kimataifa wa Ufaransa amesaini mkataba wa miaka sita utakaomuweka Stamford Bridge hadi mwaka 2032.

Chelsea Yaongeza Ukuta! Lacroix Atua Stamford Bridge Kwa Pauni Milioni 52Lacroix mwenye umri wa miaka 26 amehamia Chelsea akitokea Crystal Palace, ambapo alikuwa mmoja wa wachezaji muhimu wa kikosi hicho msimu uliopita kutokana na kiwango chake bora katika mashindano mbalimbali.

mpira wa miguu, kubeti mpira wa miguu, bashiri soka, soka, beti kwenye soka, odds za soka, bashiri mpira wa miguu, beti za soka, beti mechi za soka, odds za kubeti mpira wa miguu

“Nina furaha kubwa kuwa sehemu ya klabu hii nzuri. Kila mtu anajua historia ya Chelsea, utamaduni wake wa kushinda, na kuwa sehemu ya familia hii ni jambo la kujivunia.”

Chelsea Yaongeza Ukuta! Lacroix Atua Stamford Bridge Kwa Pauni Milioni 52“Nilipozungumza na kocha, niliona tuna maono na malengo yanayofanana kuhusu klabu hii. Tunataka kushinda. Ukiangalia ubora wa wachezaji waliopo na mazingira ya klabu, naamini tunaweza kufanikisha hilo. Malengo yetu ni kutwaa mataji, na siwezi kusubiri kutoa mchango wangu,” amesema Lacroix.

Chelsea Yaongeza Ukuta! Lacroix Atua Stamford Bridge Kwa Pauni Milioni 52Msimu uliopita, Lacroix alicheza mechi 55 katika mashindano yote akiwa na Crystal Palace, akichangia klabu hiyo kutwaa taji la UEFA Conference League, ambalo lilikuwa taji lao la kwanza kabisa la Ulaya. Pia alikuwa sehemu ya kikosi kilichoshinda Community Shield dhidi ya Liverpool. Aidha, aliitwa kwenye kikosi cha Ufaransa kwenye michuano ya Dunia na kucheza mechi tatu, ikiwemo kuanza dhidi ya England katika mchezo wa kusaka nafasi ya tatu. Lacroix alijiunga na Crystal Palace akitokea Wolfsburg ya Ujerumani mwezi Agosti 2024 na alicheza jumla ya mechi 98 katika misimu miwili akiwa na klabu hiyo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.