Colo-Colo yamnasa vozinha baada ya umaarufu mkubwa kwenye kombe la dunia 2026

Kipa wa Cape Verde, Josimar José Évora Dias maarufu kama Vozinha, ameanza maisha mapya ya soka nchini Chile baada ya kusaini mkataba wa kujiunga na klabu ya Colo-Colo inayoshiriki Ligi Kuu ya nchi hiyo.

Colo-Colo yamnasa vozinha baada ya umaarufu mkubwa kwenye kombe la dunia 2026Vozinha mwenye umri wa miaka 40 amejiunga na Colo-Colo akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza kipindi chake cha misimu miwili katika klabu ya Chaves ya Ureno. Katika kipindi chake akiwa Chaves, kipa huyo alikuwa akipata nafasi kwa vipindi tofauti ndani ya kikosi.

mpira wa miguu, kubeti mpira wa miguu, bashiri soka, soka, beti kwenye soka, odds za soka, bashiri mpira wa miguu, beti za soka, beti mechi za soka, odds za kubeti mpira wa miguu

Nyota huyo alipata umaarufu mkubwa duniani wakati wa Kombe la Dunia 2026 baada ya kuonyesha uwezo mkubwa langoni na kusaidia Cape Verde kutoruhusu bao dhidi ya Hispania katika mchezo wa hatua ya makundi. Pia aliendelea kuvutia baada ya kufanya sevu muhimu katika mchezo dhidi ya Argentina uliomalizika kwa ushindi wa mabao 3-2 baada ya muda wa nyongeza.

Colo-Colo yamnasa vozinha baada ya umaarufu mkubwa kwenye kombe la dunia 2026Akiwa Colo-Colo, Vozinha ataruhusiwa kutumia jina lake la utani kwenye jezi yake baada ya Shirikisho la Soka la Chile (ANFP) kuridhia ombi maalumu la klabu hiyo. Uamuzi huo ulitolewa licha ya kanuni za ligi hiyo kuwataka wachezaji kutumia majina yao ya ukoo pekee kwenye jezi.

Colo-Colo yamnasa vozinha baada ya umaarufu mkubwa kwenye kombe la dunia 2026Vozinha ni jina ambalo limejijengea utambulisho mkubwa kwenye soka na viongozi wa klabu nchini Chile wameunga mkono ombi hili ili kumpa heshima kipa huyo mwenye uzoefu, ilielezwa baada ya uamuzi wa ANFP kuruhusu matumizi ya jina hilo. Hatua hiyo inatarajiwa kumsaidia kipa huyo kuendelea na safari yake mpya akiwa mmoja wa wachezaji wenye uzoefu zaidi katika kikosi cha Colo-Colo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.