Beki wa RB Leipzig, Ibrahima Konate itakuwa anatarajiwa kuwa usajili wa kwanza wa Liverpool katika majira haya ya joto, taarifa imethibitishwa mapema wiki hii.
Mchezaji huyo atajiunga na Liverpool kwa mkataba wa kudumu huku taarifa zikisema tayari alikuwa na makubaliano na Majogoo hao tangu mwezi April.
Beki huyo anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka 5 na Liverpool hadi Juni 2026 huku tayari kukiwa na makubaliano binafsi.
Mkataba huo utasainiwa na RB Leipzig katika siku zijazo, Konaté anataka tu kujiunga na Liverpool na kifungu cha kutolewa kitakuwa ufunguo wa kukamilisha makubaliano katika siku zijazo.
Liverpool hawajaamua rasmi bado juu ya chaguo la kununua la Ozan Kabak, lakini inaelezewa hawataweza kumsajili beki huyo kwa mkataba wa kudumu baada ya kumalizana na Konate.
BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.
Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.