Depu, Steve Barker Washinda Tuzo za Mwezi Februari Ligi Kuu ya NBC

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania TPLB imetangaza washindi wa tuzo za mwezi Februari kwa msimu wa 2025/26.Mshambuliaji wa Yanga SC, Laurindo Dilson Depu, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Februari baada ya kuonyesha kiwango bora cha uchezaji.

Depu, Steve Barker Washinda Tuzo za Mwezi Februari Ligi Kuu ya NBCDepu alifunga mabao mawili katika michezo miwili aliyoshiriki na kusaidia Yanga kusalia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya NBC. Katika fainali ya tuzo hizo, aliwashinda beki wa Simba SC, Rushine De Reuck, na kiungo Azam FC, Idd Selemani ‘Nado’.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa  

Depu, Steve Barker Washinda Tuzo za Mwezi Februari Ligi Kuu ya NBCKwa upande wa makocha, Steve Barker wa Simba SC amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa Mwezi Februari. Barker aliiongoza timu yake kushinda michezo miwili na kutoa sare moja, hatua iliyosaidia Simba kupanda kutoka nafasi ya sita hadi ya tatu kwenye msimamo wa ligi. Aliingia fainali ya tuzo hiyo akishindana na Pedro Goncalves wa Yanga SC na Florent Ibenge wa Azam FC.

Depu, Steve Barker Washinda Tuzo za Mwezi Februari Ligi Kuu ya NBCTuzo hizi zinatolewa na Kamati ya Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kama kutambua wafanyakazi wa ligi walioonyesha ubora katika kila mwezi wa mashindano.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.