Katibu Mkuu wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Hassan Abbasi, amezitaka Kampuni za Ubashiri wa Michezo (Sports Betting) kuwa sehemu ya kuinua na kukuza michezo nchini.

abbasi, Dk Abbasi: Sports Betting Kusaidia Michezo, Meridianbet

 

Dk. Abbasi amesema hayo katika kikao alichofanya na Kampuni hizo ambapo amesema michezo ya kubashiri ( Sports Betting) ina nafasi kubwa katika kuchangia maendeleo ya timu za Taifa hasa pale zinapokuwa katika mashindano.

“Lengo la Serikali kwa sasa ni kuwekeza kimkakati kwenye michezo, tuwe na mpango wa moja kwa moja wa kuzisaidia timu zetu za Taifa kifedha, mimi naamini tukishirikiana kwa karibu tunaweza kuleta mabadiliko chanya katika sekta ya michezo” amesema Dk. Abbasi.

abbasi, Dk Abbasi: Sports Betting Kusaidia Michezo, Meridianbet

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Chama cha Ubashiri wa Michezo Tanzania (TSBA), Jimmy Kenneth, ameiomba Serikali kutatua baadhi ya changamoto ikiwemo uwepo kwa kampuni za ubashiri ambazo hazina usajili nchini ambazo zinaisababishia nchi kukosa mapato, naye Dk. Abbasi ameahidi kulifanyia kazi suala hilo.


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

abbasi, Dk Abbasi: Sports Betting Kusaidia Michezo, Meridianbet

SOMA ZAIDI

13 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa