Chelsea wamefikia makubaliano ya mdomo na Leicester kuhusu ada ya kumnunua Wesley Fofana

Kwa taarifa tulizonazo MeridianSports ni kuwa ratiba ya kufanyiwa vipimo kwa kinda huyo raia wa Ufaransa ili kujiunga na Chelsea, imepangwa kufanyika leo kila upande umekubaliana na matakwa, na nyota huyo atasaini mkataba mpya mara baada ya kumaliza kufanya vipimo.

Kwa taarifa tulizonazo MeridianSports ni kuwa Fofana ratiba yake ya kufanyiwa vipimo akiwa Chelsea imepangwa kufanyika leo kila upande umekubaliana na matakwa, na Fofana atasaini mkataba mpya mara baada ya kumaliza kufanya vipimo.
Wesley Fofana

Ada iliyokubaliwa ni ya paundi milioni 70 pamoja na nyongeza, lakini maelezo ya muundo wa malipo na masharti kamili ya nyongeza bado hayajawekwa wazi.

Brendan Rodgers ambaye ni wakala wa mchezaji huyo alithibitisha siku ya Alhamisi kwamba mchezaji huyo aliikosa mechi ya wikendi iliyopita dhidi ya Southampton huku kukiwa na uvumi juu ya hatma yake ya kusalia klabuni hapo.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa