Baada ya kuwapoteza Pierre-Emerick Aubameyang na Alexandre Lacazette, Arsenal inataraijia kumsajili mchezaji wa Manchester City na timu ya taifa ya Brazil, Gabriel Jesus.

The Gunners wanataka kuongeza makali kwenye safu yao ya ushambuliaji kuelekea msimu mpya wa 2022/2023.

Gabriel Jesus to Arsenal
Gabriel Jesus to Arsenal
Gabriel Jesus to Arsenal limekua neno ambalo yawezekana mashabiki wa ganners wamelitafuta zaidi kwenye mtandao wa Google likiashiria huenda mchezaji huyo akajiunga moja kwa moja na gunners msimu wa 22/23
Gabriel Jesus mwenye umri wa miaka 25, hakuwa sehemu muhimu ya kikosi cha kwanza cha Pep Guardiola msimu uliopita na ujio wa Julian Alvarez na Erling Braut Haaland unafifisha zaidi nafasi ya Jesus katika kikosi hicho.
Gabriel Jesus to Arsenal
Gabriel Jesus to Arsenal

Tottenham Hotspur, Chelsea na Juventus zote zimehusishwa kutaka kumnunua Jesus, lakini Arsenal wanatajwa kuwa mstari wa mbele katika mbio hizo.

Kwa mujibu wa mtandao wa Goal.Com, The Gunners wanaweza kutangaza usajili wake mwishoni mwa wiki hii 2023.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa