Bingwa mara tano wa dunia Gervonta “Tank” Davis takuwa akitetea taji lake la WBA uzani mwepesi dhidi ya Rolando Romero siku ya leo Jumamosi. Bondia mtata Davis hajawahi kupoteza pambano, lakini Romero ambaye pia hajawahi kupoteza anataka kutetea heshima yake aliyotafuta kwa bidii.

Wawili wamepangwa kuzichapa ndani ya uwanja wa Baclays Center huko New York katika uzani wa 135lbs lightweight.

Tank Davis anakuja kwenye pambano hili akiwa na kumbukumbu ya kumzaba kwa KO Mario Barrios mwaka jana 2021 na ilikuwa wapigane mwezi Disemba lakini pambano lilihairishwa kutokana Romero kukabiliwa na mashitaka ya unyanyasaji wa kijinsia lakini baadaye kesi iliondoshwa na pambano kupangwa tena.

Kwa upande wa Rolly amepigana mara mbili mwaka huu na ameshinda mapambano yote

“Pambano halitakuwa la raundi 12,” Alisema Romero kwa DAZN wiki hii. “Hatuhitaji majaji wala waamuzi, Itaenda kuwa vita.

BETI HAPA PAMBANO HILI 


SHINDA SAMSUNG A32 NA AVIATOR

SHINDA Samsung A32 ukiwa na mchezo wa Aviator kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet! Kwea pipa ukusanye zawadi zako pamoja na ushindi mnono wa mkwanja!

 

kasa wa njano, Kasa wa Njano Awapa Ubingwa wa CL Liverpool., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa