Pep Guardiola Anusa Harufu ya Makombe Matatu Makubwa

Guardiola

Pep Guardiola hatimaye yuko tayari kuzungumza juu ya mataji matatu “treble” baada ya Manchester City kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 kwenye fainali ya Kombe la FA Uwanja wa Wembley. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

 

Magoli mawili ya Ilkay Gundogan, yaliifanya timu hiyo kubeba kombe hilo lenye thamni kubwa nchini Uingereza na duniani kwa ujumla. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

 

pep

“Sasa ni mara ya kwanza tunaweza kuzungumza kuhusu treble,” Guardiola aliambia BBC. “Dhidi ya United, ilikuwa maalum kwa jiji letu, kwa mashabiki wetu. Tulifanya vizuri sana. Kweli, vizuri sana. Nimefurahiya sana.”

Akifafanua katika mkutano na waandishi wa habari baadaye, Guardiola alisisitiza kuwa timu yake inahitaji kuifunga Inter ili kupata sifa inayostahili. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

“Tumefanya mambo ya ajabu, Ligi Kuu tano, makombe mawili ya FA na Carabao lakini lazima tushinde Ligi ya Mabingwa ili kutambulika jinsi timu inavyostahili kuwa. Imekuwa ya kushangaza, imekuwa ya kufurahisha, lakini lazima tushinde.

“Tumebakiza mchezo mmoja. Niliwaambia wachezaji lazima ujiwekee shinikizo. Ili kutambulika kama kitu kizuri lazima ushinde Ulaya.”

Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Acha ujumbe