Kocha wa Lazio, Simone Inzaghi yuko tayari kuwa meneja mpya wa Inter Milan baada ya Antonio Conte kuachana na klabu hiyo hapo jana.

Makubaliano hayo yanapaswa kukamilika baada ya Inzaghi kuamua kukataa pendekezo la kandarasi lililopokelewa jana kutoka Lazio. Inzaghi atasaini na Inter hadi Juni 2023 kama ilivyotangazwa leo kwenye.

 

Maurizio Sarri, Paulo Fonseca, Sinisa Mihajlovic na Sergio ConceiƧao hawajawahi kuchukuliwa kama chaguzi kubwa kumrithi Conte pale Inter.

Antonio Conte ataamua maisha yake ya baadaye mara tu baada ya kuondoka Inter jana, vilabu vingi vinavutiwa na huduma yake huku Tottenham wakiongoza mbio hizo.

Simone atakuwa mkufunzi mpya wa Inter, makubaliano ya miaka miwili tayari yameshafikiwa na atasaini katika masaa machache yajayo, anaondoka Lazio na kelekea Nerazzurri kuanza safari mpya.


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa