Iraola Afunguka Baada ya Liverpool Kufungwa 4-2, Aizungumzia Hali ya Frimpong

Kocha mkuu wa Liverpool, Andoni Iraola, amesema ana matumaini kuwa beki Jeremie Frimpong hajapata jeraha kubwa licha ya kuomba kutolewa nje wakati wa kipindi cha pili katika mchezo wa kirafiki ambao Liverpool ilifungwa mabao 4-2 na Leeds United mjini Chicago, Marekani.

Iraola Afunguka Baada ya Liverpool Kufungwa 4-2, Aizungumzia Hali ya FrimpongLiverpool inaendelea kukabiliwa na changamoto ya majeruhi kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu England, hali inayofanya taarifa kuhusu Frimpong kuwa ya kutia moyo. Tayari beki Joe Gomez anatarajiwa kuukosa mwanzo wa msimu kutokana na jeraha la misuli, huku Conor Bradley, Hugo Ekitike na Giovanni Leoni wakiendelea na programu za kupona majeraha yao. Akizungumza baada ya mchezo huo, Iraola alisema Frimpong hakutolewa kutokana na jeraha kubwa bali alihisi uchovu uliopitiliza.

ligi kuu ya uingereza, ligi kuu England, odds za epl, mechi za ligi kuu uingereza, bashiri mechi za EPL, beti mechi za premier league, odds za ligi kuu England, odds za premier league

“Jeremie ndiye aliyeomba afanyiwe mabadiliko, lakini sidhani kama ni jeraha. Alikuwa anahisi mzigo mkubwa wa mwili na nina matumaini haitakuwa tatizo kubwa. Sidhani kama tumempoteza mchezaji mwingine kutokana na majeraha,” alisema Iraola.

Iraola Afunguka Baada ya Liverpool Kufungwa 4-2, Aizungumzia Hali ya FrimpongLicha ya kupoteza mchezo huo, kocha huyo raia wa Hispania alisema mechi hiyo imewapa funzo muhimu kabla ya kuanza kwa msimu mpya. Iraola alijiunga na Liverpool mwezi Juni baada ya Arne Slot kuondolewa kwenye nafasi ya ukocha.

“Bila shaka hii si matokeo tuliyoyataka, lakini naamini huu ulikuwa mchezo wa kirafiki uliotupa mafunzo makubwa. Tulicheza vizuri kipindi cha kwanza, lakini tulikuwa dhaifu kipindi cha pili. Tumejifunza mengi na tunaamini tutarekebisha mapungufu yaliyojitokeza,” aliongeza.

Iraola Afunguka Baada ya Liverpool Kufungwa 4-2, Aizungumzia Hali ya FrimpongLiverpool, ambao walimaliza katika nafasi ya tano msimu uliopita wa Ligi Kuu England, wanatarajiwa kuanza kampeni yao ya msimu mpya kwa kucheza ugenini dhidi ya Newcastle United Agosti 23.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.